Matokeo mabovu ya CSEE 2012: Waziri Mkuu aunda Tume kuchunguza
23/02/2013
0 Comments
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ameunda Tume maalum itakayofanya uchunguzi wa matokeo...
Wakati taifa likipigwa na butwaa kuhusu matokeo ya kidato cha nne. hebu tujikumbushe watu waliotufikisha hapa tulipofikia ...... soma gazeti la wakati huo mchakato wa kudidimiza elimu ulipoanzia...
Mamlaka ya VETA inatoa elimu kwa wahitimu wa kidato cha nne (Form iv leavers) hata kama wamepata Divisheni 0! Pia VETA imetoa ithibati kwa vyuo mbalimbali nchini kutoa mafunzo ya aina hiyo kwa...
Mkurugenzi wa Green Acres Bw. Bujugo ameumbuka baada ya kutoa habari zisizo za kweli juu ya matokeo ya shule yake, akishutumu NECTA kwa kile alichokiita uzembe mkubwa.
Baadhi ya tuhuma za Bw...
Kwa wadau wa elimu.
Wakuu nimesikia hizi tetesi kuwa kutokana na ufinyu mdogo wa wanafunzi watakaojiunga kidato cha 5 mwaka 2013, Wizara ya elimu inatarajia kushusha sifa za watahiniwa...
Kutokana na ufahulu mbaya wa wanafunzi wa kidato cha 4 wa mwaka 2012, sasa mitihani hiyo kurudiwa upya na serkali itagharamia gharama zote na hii ni kwa ajili ya kuliepusha taifa aibu ambayo...
Shule ya msingi mwasa kata ya kidete station tarafa ya kidete wilaya ya kilosa mkoa wa morogoro haaina choo takriban miaka 5 walimu na wanafuanzi wanajisaidia vichakani shulae iyo ina wanafunzi...
Wana JF hivi karibuni matokeo ya kidato cha 4 yametangazwa tena na Waziri katika hali ambayo haikuzoeleka. Dr. Ndalichako kama mwanafalsafa na mama hakuonekana kuwa na furaha juu ya matokeo hayo...
Nimehangaika sana tangu jana kufanya online registration bila mafanikio, nimefuata maelekezo, na pia nimeshalipia kwa
njia ya M pesa, lakini kila nikibofya ili kucreate user name inaandika...
Ugonjwa huu unawasumbua sana wafugaji wa kuku (na jamii yake) na mifugo mingine. Ziko aina kuu mbili za ugonjwa huu kwa kuku kutegemeana na eneo ambalo linashambuliwa kwenye utumbo. Coccidia...
Na Editor
21st February 2013
Katika toleo la jana ukurasa wa tatu wa gazeti hili, tulichapisha habari yenye kichwa cha habari `Ajira mpya za walimu zaibua mapya wizarani.'
Tulieleza...
habari za leo ndugu ,jamaa na marafiki nilikuwa naomba msaada wa kujulishwa mahala ambapo ninaweza kupata syllabus za masomo ya phy,chem na maths ..... Ahsanten
Nimesoma hapa kwenye thread ambapo NAPE anatamba kwamba ana MPA ya Mzumbe. Huwa nacheka sana nikiona mtu anaetamba kwamba ana MBA au MPA ya Mzumbe. Nacho ni cheti cha kujivunia? Nilianza masters...
The Functions of the National Examinations
Council of Tanzania
To formulate examinations policy in accordance
with the principles of education for self reliance
and the education and training...
Vituko haviishi bongo,
Wananchi wilayani Busega mkoani Simiyuwametaka kuondolewa kwa Mwalimu mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja kwa madai kuwa ni "Freemasons".
Wananchi hao...
"Ikitokea bei ya bidhaa imeshuka sana, uchumi wa nchi utakuwa umepanda au umeshuka? Na kwa nini?" Kwa mfano ikitokea soda imeshuka bei kutoka Tsh 700/- had Tsh 150/-.
Dear Nape Nnauye as you are aware of bad education system in Tanzania i call for the urgent discussion based on below questions. Our discussion should be condacted in English.
Please confirm to...