Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Hii nchi inatutaka nini sisi walimu? Hivi wizara kutangaza fedha zetu ajira mpya zijenge nyumba za walimu si kututafuta maneno tu? Tunaanza kuvurugwa hata hatujashika chaki zenyewe? Ela zetu ndo...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Profesa Muhugo waziri wa Elimu akitamka kwa ubabe na ukali katika mwaliko wa mahafali ya4katika chuo kikuu Mkwawa,alisema waalimu wote watapangwa kijijini,nawashauri muvumilie,mie nlipangwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanafunzi 315 wa Chuo kikuu cha SAUT Mwanza hawajapata Mikopo ya elimu ya juu tangu septemba mwaka,hali ambayo imewafanya zaidi ya wanafunzi 30 hadi sasa kuacha chuo kutokana na maisha...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu? Naomba uniasaidie kuangalia jina la Neema M. Mbise, ngazi ya shahada - Elimu Maalumu. Nitashukuru kwa uungwana wako.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu? Naomba uniasaidie kuangalia alikopangiwa kufanya kazi: jina; Neema M. Mbise, ngazi ya shahada - Elimu Maalumu. Nitashukuru kwa uungwana wako.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nashangaa kuona walimu wa Digrii peke yao ndio walioolozesha mpaka mda huu navyoingia jamvini inamaana hawaajiriwi au ndio wanaweka?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Australia Awards Scholarships Australia awards Scholarships are available for international students who want to live and study in Australia for full time undergraduate or postgraduate study. They...
0 Reactions
0 Replies
746 Views
education activist and people who love knowledge lets discuss these findings i have attached
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KATIKA mkutano wa Bunge uliomalizika wiki iliyopita mjini Dodoma, Mbunge wa Kuteuliwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR- Mageuzi, Ndugu James Mbatia, aliwasilisha hoja yake akitaka Bunge...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
South Africa's Fort Hare closed after violent protests Students barricaded the campus entrance and blocked staff from getting to work Related Stories South Africa's Fort Hare University...
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Naomba mwenye mapenzi ya dhati aniangalizie jina hili Steward mushi kapangwa wapi, diploma. Kasimu kangu hakasomi pdf.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilishangaa nilipoingia kwenye Library ya NBAA na kukuta ma-shelve ya kuhifadhia mikoba yametolewa nje halafu kuna tangazo kwamba”Weka mkoba wako hapa lakini uulinde mwenyewe. Kitu chochote...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kazi kwenu wadau kwa mliobahatika kupata ajira hizi hongereni sana
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Naona nyuzi nyingi za watu kusifia vyuo,lakini tunaangalia GPA,Matokeo ya mwaka huu,katika college zote,MC,DUCE,Coet,Muce inaongoza kwa GPA Za 1Class 16wakati MC Wana 1class moja,sio siri hao...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Am deeply concerned on why the govermemt denied employment to all Bachelor of education(BED) graduates for the simple reason that they are meant to be teachers but rather tutors. My take kwa nini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Matokeo ya ajira za walimu zimetoka kwa utangulizi nimeanza na ajira za shule za msingi
0 Reactions
2 Replies
9K Views
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) sasa kinakamata nafasi ya sita katika Vyuo Vikuu 100 bora vya Afrika. Orodha kamili iko hapa:2012 World University Ranking | Top 100 Universities in Africa
1 Reactions
56 Replies
5K Views
Mwenye uelewa wowote kuhusu wilaya ya Muleba tafadhari, hususani Hali ya kimaisha na mazingira na wanajamii wa huko.... Hamu yote ya ajira imeniisha.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa,kilio kimesikika,wanafunzi wote wa vyuo vikuu boom laki nane na ada wote kulipiwa na serikali kuanzia march, Rais na wa waziri wa elimu kusimamia zoezi zima, ni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…