Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Huku kukiwa na takribani miezi miwili tuuu tokea Rais J.Kikwete kukizindua Rasmi Chuo cha Nelson Mandela maarufu kama Nelson Mandela African Institute of Science and Technology, kashfa nzito, na...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wana jf.naombeni ushauri nataka kutafuta chuo ili nisome course fupi yenye soko,mbali na hotel nishaurini nichukuwe course gani. Naomba iwe course fupi kwa mujibu wa anaenisomesha ndo anataka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Inaonekana kutokana na wingi wa shule mpya za kata zenye kupokea wanafunzi wa kidato cha 5 matokeo yamecheleweshwa ili kustandardise alama za wanafunzi kwa hyo hadi wenye alama za chini...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau nchi yetu ya Tz imeshikiliwa na wanasiasa kiasi kwamba kila sehemu ni siasa tu. sasa imefikia hata kwenye swala la msingi kama ELIMU nalo limewekwa kwenye siasa. mambo mengi yamekuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi all, This is february, second month of year 2013 of our Lord. I hope you all had a fruitful January and that some of you, as per their habit or as per their new years resolutions, did read a...
11 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanafunzi 18 wa vyuo vikuu nchini wameburuzwa mahakamani baada ya kubainika kushindwa kerejesha mkopo uliowawezesha kupata elimu ya juu kutoka Bodi ya Mikopo (HELSB). Washitakiwa hao...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, naibu waziri wa elimu katika serikali JK ametoa mpya ya kufungua mwaka baada ya kuulizwa juu ya maendeleo ya mitihani ya kidato cha sita iliyoanza leo...
4 Reactions
90 Replies
9K Views
Ikiwa tayari wanafunzi wengi wamemaliza UE na wengineo kukaribia maliza hivi karibuni, tayari idadi kubwa ya wanafunzi wameacha chuo kutokana na ukata mkubwa uliosababisha kufukuzwa kwenye nyumba...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mwalimu afundisha shule nzima|na Danson Kaijage, Mpwapwa SHULE ya Msingi Kiboriani, wilayani Mpwapwa, mkoa wa Dodoma, inakabiliwa na uhaba wa walimu na hivyo kusababisha mwalimu mmoja pekee...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanafunzi wote wa kidato cha kwanza 2013 wameanza kufanya mtihani wa maarifa sehemu mbalimbali nchini kwa lengo la kuwabaini wale wote wasiojua kusoma,kuandika na kuhesabu. Mtihani umegawanyika...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanasiasa wa Tanzania wamekuwa ndio chanzo cha kushuka kwa elimu ya Tanzania, matokeo mabovu ya darasa la saba, kidato cha nne na kile cha sita chanzo ni wanasiasa. Na kumbuka Mh. Joseph Mungai...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
SHULE ya Msingi Kiboriani, wilayani Mpwapwa, mkoa wa Dodoma, inakabiliwa na uhaba wa walimu na hivyo kusababisha mwalimu mmoja pekee aliyepo kufundisha darasa la kwanza hadi la saba. Akizungumza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hellow wanajamii,Naitwa Martha Christian nasoma chuo kikuu Tumaini Makumira Arusha.natafuta sponsorship ya kusoma masters,ninaomba mfadhili wa kunisomesha.popote maana nina nia, namba ni 0657440107
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
0 Reactions
0 Replies
888 Views
> 2013 World University Ranking Top 100 Colleges and Universities in Africa by University Web Ranking. Link to it ♥ 2013 World University Web Ranking Top...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
jamani aliye mwanachuo wa chuo cha ualimu tandala ambaye yupo chuon kwa sasa anijuze
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Mfumo wa elimu napendekeza ubadilishwe kuanzia shule ya msingi kwa walimu wenye sifa za degree na kuendelea kwa kuwa kufundisha ni kujenga taifa lenye nguvu na linaloweza kujitegemea. mtoto mdogo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Natumaini mu wazima wa afya wana Jf, Jamani nilikuwa naomba msaada wa agency number ya ubalozi wa china nchini Tanzania kwani nafanya application ya scholaship kwa online sasa siwezi kuendelea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilikuwa nataka kufahamu wakubwa hivi veta ni miezi gani huwa wanachukua wanafunzi wapya kwa mikoa mbalimbali hapa Tanzania.Naomba msaada kwa anayejua nataka niende nichukue baadhi ya maujuzi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Students GPA has always been considered as rating of the quality and ability of students who have completed certain course. Since many years this has been so, Even in employment many organisations...
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…