Natafta mwalimu (SEKONDARI) wa kubadirishana kutoka NJOMBE MJI kuelekea MBEYA halimashauri ya wilaya ya RUNGWE... kama upo taari basi tuwasiliane or ni Private mail.....
Conts...
Hivi ni chuo gani hapa Tanzania ambacho atleast kinatoa waandisi bora katika fani zifuatazo ambazo ndio marketable hapa bongo;
1.CIVIL ENGINEERING
2.ELECTRICAL ENGINEERING
3.MECHANICAL...
Don't Bother Earning These Five Degrees
If you want to earn a college degree that will impress employers, you might want to avoid these five majors...
By Terence Loose
Do you want to go...
Wanabodi. Kuna academic analysis naifanya na moja ya eneo ambalo natakiwa kulifanyia analysis ni 'religious distribution' hapa Tanzania bara. Naombeni msaada wenu kwa kunitajia mikoa au wilaya...
wapendwa kwa yeyote aliopo halmashaur ya wilaya ya kibaha, anaetaka kuja lushoto,nazungumzia mwalimu tuwasiliane,mimi ni mwl.wa shule ya sekondar jina lushoto,nahtaj kubadilishana na mtu kutoka...
Hi wana jamvi, kuna ka-research kadogo nafanya so naomba mnisaidie kujua vyuo gani duniani (nje ya TZ) vyenye wa-tz (wanafunzi wa ki-tz) wengi, mfano
1.Makerere Uganda
2...........
3...
Ndugu wana JF natafuta mahali nitakapoweza kujifunza namna ya kutengeneza sabuni za maji, batiki na sabuni za magadi kwa gharama kidogo. Hivyo kama unafahamu mahali popote kwa dar es salaam...
Jamani habari za asubuhi,nlikuwa naomba kuuliza kwa wale waliosoma accounts,nna swal nlikuwa namfundisha mdogo wangu la investment ,nikakuta kipengere cha ordinary share zimeuzwa,na share...
Wakuu wa jamvi naomba msaada, nina mtoto wangu wa miaka 2 nataka nimsajili day care yoyote hapa dar es salaam naomba mnisaidie kunijuza ni day care ipi nzuri na ni english medium na ada yake ni ya...
JAMHURI YAMUUNGANO WA TANZANIA TUMEYA VYUO VIKUU TANZANIA TAARIFA KWA UMMAKUHUSU MGOGORO WA WAFANYAKAZI NA WANAFUNZI KATIKA CHUO KIKUU KISHIRIKI DAR ESSALAAM CHACHUO...
Mipango ya elimu kupitia MMEM na MMES inapangwa vizuri tu lakini wapangaji na wasimamizi hawasomeshi watoto wao katika shule za serkali ambazo ndio zinahusika asilimia mia moja na mipango hii...
habari,mm ni mwanafunzi wa OUT nasoma BA economics kinondoni centre mwaka wa kwanza,kwa yeyote anayesoma uchumi mwaka wa kwanza kinondoni au anapendelea kujisomea hata pale makao makuu naomba...
Wanafunzi wa UDOM tuliorejeshwa chuoni kuendelea na masomo baada ya kusimamishwa kwa muda wa mwaka mmoja tunakufa kwa njaa kwani hatujapewa pesa za kujikimu mpaka sasa,board ya mikopo wanatuambia...
habari ndugu zangu wana jf! mimi ni mwanafunz wa mwaka wa 2 chuo cha Ualimu Mororogoro nasomea masomo ya HE(history na kiingereza) natarajia kuhtimu mwakan mwez wa tano! niliingia katka fan hii...