katika hali ya kuonesha wamegundua makosa yao,Baraza la mitihani ya taifa NECTA,wameondoa ratiba yao ya mwez mei na kurudisha ya mwez february katika mtandao wao
Full scholarships for African students: Here is the website with full lists of UNDERGRADUATES, POSTGRADUATES, MASTERS AND PHD international scholarships for African and international students to...
Monday, December 3, 2012|Na Ali Issa Maelezo Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzíbar imetoa taarifa rasmi ya kuruhusiwa kufanya mitihani ya kidato cha sita, mwezi Februari mwakani, wanafunzi...
Elimu yetu ilipokuwa bora! Huko wilayani tulikuwa tunasoma na watoto wa wakuu wa wilaya, wakurugenzi, maafisa mbali mbali. Mnakaa dawati moja na kushare vitabu na vifaa mbali mbali. Japokuwa...
Wanajamvi! Nimesikia ya kuwa majina ya pc waliofutiwa usajili wao wa kufanya mtihani feb 2013 kwa sababu mbalimbali yameshatoka. But unlucky hakuna tangazo necta wala moe. Je hz taarifa zna ukweli?
The ancient Mayans had many advanced abilities & most importantly ancient knowledge, probably originating from sources that 're not immediately apparent at this time. Among these advanced...
The ancient Mayans had many advanced abilities & most importantly ancient knowledge, probably originating from sources that 're not immediately apparent at this time. Among these advanced...
Nimesikiliza Kipindi cha Dak 45 ITV naibu Waziri one 1964 alikuwa anaongea pumba tupu. Eti watu wampugie sime kama kuna shule ambayo haijasajiliwa, hivi hiyo ndiyo kazi ya Waziri? atapokea simu...
Mulugo, naibu waziri wa elimu anasema hata mwaka wa 1989 maswali yote yalikuwa ni ya kuchagua isipokuwa somo la hisabati tu! wa mliofanya mtihani mwaka huo ni kweli? nauliza hivyo maana mimi...
Habari wakuu!
Mwenzenu nahitaji msaada wenu,nauliza ukiwa na div III ya point 15 na una principle moja na subdisiary huwezi kupata chuo ukasoma degree in education?msaada wakuu
Nawasilisha
Quality education is the pillar of national development and most of Tanzanians (Activists, Elites, Farmers and Businessmen) are insisting it. What are the criteria used in assessing quality...
Sasa ni kama mwezi wa nne mishahara ya wafanyakazi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma inachelewe. Kuna habari zisizo rasmi kuwa watu wanaohusika na mishahara wanachelewe kupeleka payroll hazina ndio maana...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (wa pili kushoto) akijumuika pamoja na Baadhi ya Wabunge wanaounda timu ya Bunge Sports inayoundwa na wabunge kutoka Baraza...
Following the mushrooming projects on oil and gas industries; The Vocational Education Training Authority (VETA) has embarked on a new program aimed at offering technical training on oil and gas...
Nilipokuwa nabadilishana mawazo juu ya Elimu ya juu nchini nilipatwa na mshtuko niliposikia kuwa chuo chetu cha UDOM kinapigia chapuo udini!
mm binafsi sina shida na watu walio na dini zao...
Kama una interest apply .Utafanya kazi hosp na kusoma .kama unainterest please contact . Mary peach 860 679 2562.Her address peach@nso.uch.edu.(Hartford Hospital). Or Patricia forneister...
Oya wakali hapa kuna swali tumebishana paka watu wakagombana wengine tukiishia kucheka,hii inaonyesha utofauti wa kimtizamo kwa wasomi muda mwingine hupelekea ugomvi.kwa kuwa kwa wanafunz wote...