Habari wana Jf.
Waungwana naombeni ushauri wenu,nimemaliza degree ya kwanza,bado sijaajiriwa,natarajia kwenda chuo kwa postgraduate diploma,ila nawaza nisome fani ile ile ama nisome fani...
Samahani wana jf kwa yeyote alieskia au tetesi kuhusu wale ndugu zetu waliokosa mkopo mwaka jana na mwaka huu wameomba tena lakin mpaka leo hakijaeleweka wanatoa majibu lini?maana vyuo ndo...
Wadau nimepata nafasi ya kusoma master's kwenye University moja hapa Tanzania. Admission letter yao inanielekeza ku-CERTIFY nakala za vyeti vyangu vyote kwenye vyuo shule nilizosoma. Je...
Katika kuongea na wadogo zangu kilimu nimepata kusikia mhitimu mmoja wa Kidato cha Sita akiilalamikia TCU kwa kumpeleka chuo na programu asiyopendekeza. Amedai ya kwamba amechaguliwa UDSM kusoma...
wana jf,mpaka sasa tbora kuna vyuo vikuu viwili ambavyo ni SAUT TABORA kilichoanzishwa 2010 na teofilo kisanji 2012.sasa je kwanini mkoa mkongwe kama huu haukupewa kipaumbele wakati wasaomi wengi...
Wadau, NINGEPENDA TUWAKUMBUKE viongozi wa dunia waliowahi kutamba enzi zao, ubabe wao na ukatili wao usio wa lazima katika jamii zao, wanaharakati wa masuala mbalimbali ya kimaendeleo, katika...
Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari ya Alfa Morogoro, Jesca Kiliani (17) akifanya mtihani wa taifa wa kidato hicho akiwa wadi namba 7B katika hospitali ya rufaa ya mkoa huo...
1] chlorine is an oxiding agent explain. What is meant by this statement. Describe the oxiding action of chlorine with the following:
a] iron
b]chloride
c]hydrogen sulphide
d] sulphur dioxide
Wadua naombeni msaada,kwani laptop yangu button tatu zimegoma kabisa kufanya kazi.Nimesafisha kwa sprit baada ya kufungua lakini bado tatizo liko palepale..Pls,naombeni msaada,huenda kukawa na...
TUMEGUSWA mno na habari zilizotoka katika vyombo vingi vya habari juzi kwamba, hatimaye Serikali imekiri kuwa, udanganyifu unaofanywa na wanafunzi katika mitihani ya kitaifa ni mkubwa na kusema ni...
jamani naomba mnisaidie wadau wa JF nilimaliza fm4 nikapata pass 2 nikasoma certificate nkaonganisha diploma ya procurement je nataka kusoma na degree nitakubaliwa na cheti cha fm4 kinakuwa akina...
NEW ARRANGEMENTS FOR STUDENTS SELECTED TO JOIN FIRST YEAR STUDIES DURING ACADEMIC YEAR 2012/2013 The University of Dodoma will commence its First Semester for 2012/13 academic year on...
Sorr ndugu kwa kuwasumbua,mm nmechaguliwa jokuco-bukoba na home n tanga.Nataka kuhama cz swez kumudu gharama&mwanzon ckujua km chuo 2naruhusiwa kuhama...wanajukwaa nsaidien mawazo km naweza kuhama...
Kumekuwa na tabia ya wanasiasa walioko kwenye nafasi zao kama mawaziri kufanya mabadiliko yasioyokuwa na kichwa wala miguu kwenye tasnia muhimu kama elimu bila kuwashirikisha wadau au kujali...
Mwalimu mkuu wa shule ya secondary inayo itwa seek Mkoani shinyanga wilayani kahama ashutumiwa kuwa beba kinyamera wanafunzi wa patao 100 tangu wakiwa 4m1 mpaka 4m4 bila ya kuwa na usajili
unao...
Naomba maelezo kwa wale wa udsm je wale waliokuwa washafika walochukua education kwa art subject je wamepata % 50 kama bodi walivyosema au wameongeza % ?
Nikiwa km mmojapo wa wahanga wa kukosa mkopo,natoa rai kwa mamia ya wenzangu kuwa,kwanza 2ukubal ukwel il kuipa akil mwanya kufkiria mbadala wa kufanya!,mwsho mwombe Mwenyez kwa dhat akujalie...