Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Utakua unajiuliza maswali mengi,mkopo wangu ni asilimia ngapi?,napaswa kujilipia ada asilimia ngapi? Deadline ya payment ni 30sept,sasa nitalipaje. UNATAKIWA ULIPE KILA KI2 ISIPOKUA ADA TU,HII...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndg yng amepata vyuo viwili st joseph songea course ni computer with education alichaguliwa na tcu.,pia amepata mzumbe course ni belm aliomba directly..mkopo umeelekezwa st joseph.,yy anataka...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni mtanzania niliosoma nchi za kiarabu nimechaguliwa ARABIC UDOM nafikiria kubadili au kuongeza kozi nikifika chuo, lipi bora kati ya haya? Kozi za arts
1 Reactions
2 Replies
1K Views
UTANGULIZI. Website: www.hlssf.org; e- mail: info@hlssf.org Contacts: +255 717 488 745/765 420 512. Telephone: +255-(0) 222183709. Fax: +255- (0)222183710. HLSSF ni NGO ambayo...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Nimejalibu kuingia bodi ya mikopo na kuangalia list ya majina walio pata mkopo sijaona jamani alie ona naomba msaada atuwekee link apa.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nimekosa admission letter lakini jina langu chuoni lipo..nini maanake hii?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
nimeangalia usaili wa maisha plus leo husiku , kwa kweli inatisha na kusikitisha. Ongera sana kipanya kutuonyesha jamii yetu inaelekea wapi. Kama mtu anashindwa kujua afrika mashariki in inchi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WAKUU Nimejaribu kulog in nimeshindwa..je kuna mtu aliyefanikiwa anilekeze? inaniandikia hiki kitu Home Login Username and password do not match or you do not have an account yet...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Eti kwenye ule wimbo wa MATHEMATICS wa Roma wa Tongwe Records kuna mistari ameisema eti: "MAKAHABA WANAONGEZEKA BOOM LINAPOKATA". vp kuna ukweli wowote hapo? Tiririkaaa...!
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Story ilianza hivi...MATOKEO YA FORM VI LINI,Kitu soon kikatoka...Iliyofuata ni MKOPO LINI UTATOKA,hapa yalisemwa mengi sanaaaa finally majina yakatoka...Sasa STORY iliyo mtaani "KWANINI MAJINA YA...
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Habari zenyu binafsi bana wa jf!samahani kama mada hipo jukwaani tayari lkn by the tym na post ckuiona!tcu wametupia majina ya watu waliokuwa selected na loans zao pia na majina ya watu wenye loan...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa gazeti la nipashe la hii leo 25/09/2012, bodi ya mikopo yatamka mikopo kuanza kupelekwa vyuoni kuanzia wiki hii. Habari njema bt wishing you financial discipline in expenditure of...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
:violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin: Napenda kuwaarifu students wa first year UDSM kuwa tayari admission letters zimeshaanza kutolewa chuoni. Kwahiyo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kujua, kama mimi nilimaliza form 6 miaka kadhaa iliopita na div 2 sikutaka kusoma nikaanza mambo ya pesa na familia, sasa ndo nimeomba chuo kupitia tcu, jina halijatoka, nataka masomo ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ANNOUNCEMENT TO CANDIDATES SELECTED TO JOIN FIRST YEAR STUDIES DURING ACADEMIC YEAR 2012/2013 The University of Dodoma will commence its First Semester for 2012/13 academic year on...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimechaguliwa udsm,cheti changu original cha form 4 ninacho,ila kwa bahati mbaya jana nikiwa natoka kuchukua original yangu ya form 6 nikawa nimeiweka pamoja na cheti cha kuzaliwa,nikavisahau...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimechaguliwa UDOM lkn sijapata MKOPO bora ningechaguliwa UDSM karibu na home nisinge sumbuka msosi.Dah ila sikati tamaa nitaenda hivyo hivyo
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Serikali ya Tanzani ya JK ilipoamua kilimo kuwa kipaumbele chake haikuwa sahihi. Mwana-zuoni Abraham Maslow aliyaweka mahitaji ya viumbe hai katika makundi matano. Kundi la kwanza na la chini ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni moja ya koz ambayo ningewish kuisoma,karibun kwa michango.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba niwaulize.Je wanaochukua ITB,ITM,na ITS pale Mzumbe.,mwaka wa kwanza wanaenda field? Na pili tofauti ya kozi hizo ni zipi?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…