Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Tuseme nina cut-off points za chuo X, na kozi ninayoipenda inatolewa chuo X tu. Sasa kukwepa ushindani wa kuwa admitted kwenye kozi hiyo kupitia TCU nimeamua ku-apply moja kwa moja moja chuoni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu jf pipo? Mi nimechaguliwa kujiunga na chuo hiki,nimechukua joining instruction na nimeona structure nzima ya ada,ambayo ni: -caution money 30,000 -student organisation 10,000...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
HABARI WANA JF, KWANZA KABISA NATANGULIZA POLE SANA KWA WALIOKOSA MIKOPO WASIKATE TAMAA PIA NAWAPA HONGERA WALIOFANIKIWA KUPATA NAWASHAURI WAKASOME KWA BIDII. MIMI NIMEJARIBU...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari zenu bhanah.. Ningependa kupata uchangaunuzi kuhusu suala la Medical Capitation fee(100000) ambalo lipo kwenye list ya Direct costs na suala la kujiunga na National Health insurance fund...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
jaman kwa wale wanaojua matokeo ya clinical officer yanatoka lini anijulishe. Kwan cku zinaenda 2naona wizara ya afya ipo kmya. Km unafunu niambie.
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Habar zenu wana jamvi?Hali ya kiuchum ya watanzania wengi inafanana,hasa ya ya wale angalau walisoma angalau shule moja ya goverment na binafs(private),matajir wa tanzania wanatambulika na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naombeni ushauri juu ya hili, mimi nimechaguliwa Bachelor of Arts in Public relations and Advertising pale UDSM ila sasa baada ya muda nimeshauriwa na watu wa nyumbani ni badili nichukue...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu,nimeona tcu wametoa majina kwa makundi,kuna kundi la waliopata mikopo ya heslb,kuna kundi la mozambique scholarship,kuna kundi la previous loanee nk.sasa naomba kuwauliza,je sisi ambao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wandugu naomba mnijuze. Chuo duce vp napataje admsion form na first year wanareport lin
0 Reactions
5 Replies
3K Views
--je ni kila facalty wanafanya field kila mwka??? -- na kama una loan wote mtapewa 600000?? --je course zip zenye field?? MSAADA WENU NI MUHIMU
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama kuna anayejua mchanganuo wa loan allocation ya 5,312,500 anisaidie nijue nadaiwa kiasi gani cha kuongezea. 1. What is the percent allocation by that amount. 2. Administrative costs-465,000...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
et!hela tsh 77,400/= unaenda nayo chuon ama unadeposit kwenye account yao?thanx if you wll reply!!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
HABARI ZENU WAUNGWANA! NIMEONA TTLE BOARD YA MIKOPO LIKISEMA NEW ALLOCATION BATCH RELEASE TWO, NA WAKATOA SABABU ZA KUTOTOA YALE MAJINA KWA MARA YA KWANZA. SASA TUNAJARIBU KUYAFUNGUA YALE MAJINA...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwisho kulipa Ada ni Sep 30,je ikiwa nitalipa baada ya hapo itakuwaje?. Na VP ikiwa Ada yangu niliolipa haijafika hata nusu je chuo kitanipokea au hadi nilipe japo nusu?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wadau mnaofurahia kupata mkopo na mnaosikitika? Mi nipo kwa wanaosikitika japo sio wengi sana ila naungana nao sababu na mi nimekosa mkopo! Jamani maumivu ni makali sana bora...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
hiyo ni zawad yangu kwao...vp wadau mnaniunga mkono????
0 Reactions
58 Replies
4K Views
Kwan ujue ndungu zangu mi sjaelewa mpaka sasa.mkopo locted sua na tcu profl tcu loct me to Sua ila sua site no jna langu kwa mwenye infor anieleweshe
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwanza kabisa nawaombeni msamaha wana jamii wote wapenda amani kwa kitendo changu cha kuwaua kinadharia wazazi wangu hali wangali wazima. nililazimika kufanya hivyo ili niweze kupata mkopo...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Habari wadau! Naomba msaada kwa ongoing student ambaye anamkopo kwa miaka miwili iliyopita ila mwaka huu hajafanya application tena baada website ya Heslb kublock; ili kuendelea kupata; 1)hivi ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
1. Kwa mara ya kwanza Tanzania ( na kwa kuweka historia) wanafunzi wa darasa la saba wafanya mitihani kwa kujibu majibu yaliyo sahihi tuuu ( tofauti na miaka ya nyuma). Je hii ina maana...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…