Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jamani naombeni wale wa udom tueleweshane kuhusu hili hasa wale mliopo dom ambao ni rahisi kupata habar za chuo coz wengine tupo nje ya tz na kupitia humu tunapata habar zote UTATA 1.Kuna...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
ni balaa tupu kama hukufanikiwa kuona jina lako na mkopo mapema.
0 Reactions
0 Replies
784 Views
nadhani macho na masikio ya kila mdau amepata kila kitu alichokuwa akisubiri kwa hamu kutoka TCU na HESLB,,msimu ndo hivyo unaelekea mwisho,,tuwaachie first year wajao yaani 2013/14...NAWATAKIENI...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Ndugu zangu wasomi..... Huu ni waraka wangu kwenu kuwatakia subira manake wiki sasa inakaribia kukatika bila y kujua muamala wetu km tumepata mkopo au lah...!!!! Bodi y mikopo inapaswa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani naomba kwa wanaojua, mambo yamekwiva kuelekea vyuoni na mkopo huo wamegawa, lakini sisi wengine wa DIPLOMA ndo hivyo... CHECKING IN PROGRESS...ndo tumetoswa au bado tunashuglikiwa? Nawasilisha.
0 Reactions
1 Replies
722 Views
jamani naombeni msaada wenu wa kimawazo nimechaguliwa pharmacy muhas but sioni jina langu nifaneje wapendwa
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nilichaguliwa biotechnology and laboratory science pale sua,loan nimepata sh.3756000 ila nashindwa kuelewa ni % ngapi?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nilichaguliwa biotechnology and laboratory science pale sua na nimepata loan sh3756000 ila nashindwa kuelewa ni % ngapi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii shule ipo moshi maeneo ya soko laa mbuyuni na mkuu wa shule hii anaonekana ni tapel fulan ambaye anaajiri waalimu bila mkataba wowote na cku yoyote akiamua anafukuza na hadi sasa kuna waaalim...
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Nina division 1 ya point 17..nina B 4 na C 5 na cna mpango wa advance,nataka kwenda chuo ila mpaka sasa naumiza kichwa cjui naenda chuo gani...nina mpango wa kusoma kati ya haya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Jamani najaribu kuangalia majina ya walipata mikopo siyaoni na dogo yupo hapa anawasiwasi kweli hakuna aliyeyapakuwa atuwekee hapa jamani Asanteni kwa watakaonisadia
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jmn naomben msaada kuhusu hk chuo cha SAUT mwanza, ni kwamba mm nimechaguliwa pale SAUT, na hapa nilipo cna pa kuanzia, niko wilaya ya magu mwanza na nimejpanga kesho kwenda chuon ili nikapate...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Samahan kama haka kathread changu katakua kamejadiliwa kwenye 2thread zengine sasa mm nmeshindwa kuingia nahc hzo pacwed na username zkosawa na nkireset inakataa naomba hao walio na maufund wapate...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hivi kama nimepata mkopo halafu nkawa nasomea SAUT ntaupata huo mkopo....?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zangu wanaJF haswa sisi tuliobahatika kupata Loan kutoka heslb, hakika twapaswa kumshukuru mungu na si majivuno ukizingatia kuna wenzetu wamekosa, tena mimi ni mfano wa waliochaguliwa course...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Jamani ninachukua degree ya engineer bahati mbaya mwaka 2011/2012 nilikosa mkopo nilijitutumua mpaka nikasoma hivohivo(nina deni chuoni) lakini niliapply tena je utaratibu ukoje kwa sisi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Teknolojia sasa imefanya Elimu ya Tanzania kuwa kama Michezo ya Juma na Uledi.sasa Hawa wanafunzi ambao ni wataalamu wakuchagua Hesabu, huyu mwalimu wangu wa shule hizi za kwetu ambazo ukipeleka...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Watu sasa imekuwa shida..dah!,,maana maamuzi ambayo wanachukua.. ..siyo kabisa(maombi yangu ni kuwataka kuwa wavumilivu ktk kipind hiki kigumu wakati mnasubiri mtazamo na hatua zingine ili...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni mwanachuo mtarajiwa! Naingia chuo siku sio nyingi! Natamani niwe AUDITOR na ninaenda kusoma BACHELOR OF ACCOUNTANCY nataka nisome mpaka MASTERS na sijajua nitakuwaje AUDITOR...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je wanazuoni wenzangu ebu nisaidie mawazo,elimu yetu watanzania ni utatuzi wa matatizo tuliyonayo wote au ni utatuzi wa mtu mojamoja?
0 Reactions
3 Replies
946 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…