Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

sijapata mkopo yaani jina langu halionekani wale wanaosema meals na stationary ntaweza kupata au ndo vyote nje/ ? :roll:
0 Reactions
1 Replies
978 Views
vijana fungueni m pesa tigo pesa na air tell money boom is nothing so jipange
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, leo natoa ushauri kwa wote wale wanaoingia skul ya kwamba wajue wanategemewa na jamii inayowazunguka na pengine ndio maana MUNGU amewajalia mafanikio walionao. Hivyo bac...
0 Reactions
1 Replies
888 Views
Hi wadau. naomba kujua vyuo bora vinavyotoa online degree kwa hapa Africa particularly in East Africa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kujifunza kwa vitendo ni kitu muhimu sana kwani ndiko kunakomfanya mfanyakazi mtarajiwa kuwa mfanyakazi bora wa baadaye. Nimewahi kusikia Wanafunzi wa baadhi ya Vyuo Vikuu wanaosoma shahada...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
591 S0449.0073.2009 MASELO, SOPHIA F UNIVERSITY OF ARUSHA BACHELOR OF EDUCATION 3,600,500 LOANS SUBJECT TO VERIFICATION (PREVIOUS LONEE) 592 S0782.0182.2007 MSUYA, MARTIN G M UNIVERSITY OF ARUSHA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
• napata shida na falsafa yetu ya elimu. badala ya kufanya usimamizi huu mkali wakati wa kufundisha, tunafanya wakati wa mtihani ambao malengo yao ni kuwachuja wanafunzi. swali, sasa wakifeli...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
:A S 465:Nifanye utaratibu gani ili niweze kupata kuwa mwalimu wa serikali....??? ANAEFAHAMU PLEASE!!!:A S 465:
0 Reactions
0 Replies
2K Views
News :A S 465: The Tanzania Commission for Universities (TCU) in Collaboration with the National Council for Technical Education (NACTE) is announcing the names of...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Nlichaguliwa Bs in agriculture economics and agrobusness -SUA bt jina langu silion naomba mnisaidie wanajamvi
0 Reactions
8 Replies
2K Views
:A S cry:Lugha ya Mtaani kwetu hiyooooooooooooooo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni katika shule moja ya kata inayofahamika kwa jina la kifanya Sekondari mkoani Njombe wamefukuzwa bila sababu za msingi..... je nini kifanyike ikiwa ni idadi ya zaidi ya wanafunzi zaidi ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau vip? niambieni,hiyo orodha ya waliopata mkopo ndo imeisha au bado? :evil:!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.....................
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jaman wajumbe, vipi hapa katika allocations kuna second selection au ndo ishatoka...?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nashukuru wanaJF wote tuliokuwa pamoja katika kujuzana upadets zote za tcu na heslb tangu sijapata chuo mpaka sasa hivi nina mkopo shukrani kwenu nyote .JF IDUMU
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya vijana kupewa mikopo yao, naona wamefurahia xaana na kuSahau kuwa kuna MASOMO tena magumu sana..!! Jamani Malecture's wamewapania kwa mazoezi magumu xana.!! Tukasomeeeeeeee....!!!!!!!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu naomba tusaidiane kwa mwenye kujua undani hasa wa hii taasisi inaitwa HIGHER LEARNING STUDENT SUPPORTING FUND (HLSSF) ambayo nayo imetangaza kutoa mikopo ya elimu ya juu kama HESLB. Yenyewe...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimechaguliwa kozi ambayo haikuwa pale chuo cha Mipango Dodoma chaguo langu kwenye mfumo wa CAS wa TCU. Pia sikuikubali baada ya kuniambia nicofirm baada ya kupata chuo kikuu cha Kiislamu pale...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…