Tangu asubuhi nahangaika kutafuta majina ya waliopata mkopo kutoka bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu, cha ajabu sioni update yoyote kwenye ukurasa wao.
Je kuna njia yoyote wengine...
sjawah kuona taasis yenye mipango mibovu kama TCU. Wamewaandikia watu kwenye profile zao wamechaguliwa Agribusiness SUA alaf hatuoni majina, kisa madarasa hayatosh watu 50 majina yamerudishwa...
Watoto wangu na wadogo zangu wa darasa la saba,kesho wanaiingia kwenye mitihani ya Tafa ya kumaliza shule ya Msingi. Watafanya mitihani hiyo kesho na keshokutwa yaani tarehe 19/9/2012 na...
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi la leo kuna zaidi ya wanafunzi 600 ambao walistahili kupata mkopo ambao hata hivyo wanatakiwa kufanya marekebisho kwenye form zao za mambi ndani ya siku 14 kabla...
Serikali imepata woga gani tena, mbona mlitutangazia kuwa katika mkakati wa kuhakikisha hatupati tena wanafunzi wasiojua kusoma wala kuandika kujiunga na shule za sekondari za kata kama ilivyokuwa...
Watanzania kwa asili yetu ni wapole, na kwa muda mrefu viongozi na watawala wa idara mbalimbali za serekali wamekua wakitumia udhaifu huo kutuonea.Ni tangu jana kuanzia mkurugenzi wa bodi ya...
Wanafunzi wa sayansi kupendelewa, ualimu tu wengine wajitegemee na wamedai mwaka jana walitoa boom kwa wanafunzi takriban 26,000 na bajeti waliyopewa na wizara ya elimu.
Wanafunzi wanane wa Shule ya Sekondari Bagamoyo wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo kujibu tuhuma za kumbaka mwalimu wao kwa zamu.
Katika kesi hiyo iliyojaza umati mkubwa wa...
Ndugu zangu nisaidien kufahamu kama wale waliosoma diploma NTA level 6 na FTC watapata mkopo,kama wana vigezo vyote kwasababu kuna taarifa nimesikia kuwa wale wa direct from school ndo watakaopata
Orphaned girl starts university in Zimbabwe at 14
By Teo Kermeliotis, for CNN
September 18, 2012 -- Updated 1136 GMT (1936 HKT)
Maud Chifamba, middle, started her studies in accounting...
Ivi karibuni jeshi la polisi limeanzisha Diploma in Police science je hii itasaidia kuweka polisi kwenye perfomance nzuri au wameanzisha kwa nia ipi ? Polisi ina wasomi wengi lakn sio wataluma...
Kwa wale tuliochaguliwa SAUT ila hatujafika kufanya registration kwa kusubiri mkopo taarifa zilizopo ni kwamba hostel za chuoni zime full kwa sana so kilichopo nikutafuta hostel off campus kwa...
Kwa wale tuliochaguliwa SAUT ila hatujafika kufanya registration kwa kusubiri mkopo taarifa zilizopo ni kwamba hostel za chuoni zime full kwa sana so kilichopo nikutafuta hostel off campus kwa...
habari zenu wana jf? naombeni radhi kwa kutopanda jukwaani muda mrefu xo nimerudi na vitu vyenye msing nilkuwa nchin BOTSWANA nikimalizia masomo so iko hv kwa bodi husika inayo shughulikia utoaji...