Taarifa toka bodi ya mikopo imebainisha kuwa mgodi huo unaotegemewa na watoto wengi wa mkulima upo taabani kifedha kutokana na ufisadi mkubwa unaofanywa na viongozi wa juu wa sekta hiyo...
Eti kuna msela kaniambia magic fm wametangaza kuwa heslb wametangaza kwenye taarifa yao ya habari ya saa 10 jioni kuwa heslb wametoa majina ya waliopata mkopo,na jumla ya waliopata ni 29000 kati...
Wadau nimesoma kwa news flani hivi ati mtihani wa darasa la saba hapo kesho ni kuchagua kweli au sikweli kwa maswali yote pia kwa kuchagua A B C D kwa masomo yote mpaka hisabati Lol!! kweli...
mnalalamika nini ndugu zangu? unatangaza kuwa una kuku 100 ambao hawajaanguliwa kumbe mayai yenyewe viza, waacheni wafanye kazi zao muda ukifika tutajua kama tuna kuku au la, tusipotoshane kwa...
Jamani ndugu zanguni ningependa kujuzwa kama mtu yeyote ana jua ni lini post za diploma za clinical officer zitarushwa hewani manake mtaani jamani kunachosha wajameni
Eti kuna msela kaniambia magic fm wametangaza kuwa heslb wametangaza kwenye taarifa yao ya habari ya saa 10 jioni kuwa heslb wametoa majina ya waliopata mkopo,na jumla ya waliopata ni 29000 kati...
Nimeona hii katika pitapita yangu online. Umefika wakatiwa kuhimiza ubunifu, ugunduzi na vyote vinavyokuja navyo kwa wanafunzi wetu kama tunataka kuwa na taifa lenye wanasayansi waliofundwa kutoka...
Kwa wale wenye ufahamu wa hii kitu kuhusu labour market ipo vipi hapa tz na nje ya nchi tafadhali naomba kujuzwa!!
Natanguliza shukrani!
Update
kwa wale form six leavers karibuni sana...
Ndugu zangu ambao majina yenu hayakufika chuoni,kama kuna aliyefuatilia hili suala naomba anipefeeback kama amepata taarifa yoyote kutoka chuoni,kwani mimi bado nipo njia panda..shukrani wakuu
Nimechaguliwa koz ya barchelor of education in adult education and community development lakini mpaka sasa sifaham wapi kwa kufanyia field.naombeni mnifahamishe wakuu.
hivi zile 77,400/= kwa ajili ya vitu kama ID,exam fee etc tunavilipa vyote kwa pamoja yani kwenye pay in slip moja? pia ukiangalia lile jedwali la tution fee 2012/13 kuna baadhi ya koz sizioni...
Wanafunzi zaidi ya laki 8 wa darasa la 7 wataanza mitihani yao kesho. wanafunzi hao ni kutoka zaidi ya shule za msingi elfu 13 kote nchini.
Hatua ya walimu wa sekondari kutumika kusimamia mtihani...
Wadau ratiba ya conference tayari iko hewanin hivyo iangalieni kwenye net ili maandalizi yaanze mapema mimi nawatakeini maandalizi mema Mungu awe pamoja nasi katika SEMINA hii.
MSAADA NDUGU ZANGU WA DHATI.NINAJIANDAA KUFANYA MITIHANI HIYO CHUONI VETA.MWENYE PAST PAPERS ZA ELECTRICAL INSTALLATION GRADE 3,2 NA 1 ANISAIDIE.nipo tayari Kuzisafirisha mpaka Zinifikie.NIPO TABORA.
Jumanne, Septemba 18, 2012 05:42 Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
SERIKALI iko katika mikakati ya kuandaa mitaala kwa ajili ya somo la maadili, ili lianze kufundishwa...