Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Aisee! Kwanza nianze kusema kwamba kwa sa iv stres zote sjui za tcu na heslb zmenexpire 7bu 2meshazoea Wadau naomba kujua kuwa chuo hik lnstitute of Adult Education knafungua lin kwa frst year na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
tembelea web ya chuo...www.suanet.ac.tz
0 Reactions
1 Replies
956 Views
kwanza nawashukuruni kwa kazi yenu nzuri ya ku2dokeza new alert kuhusiana na mambo kadha wakadha but jaribuni kutupa vitu ambavyo ni kweli mmevitafutia ukweli
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni usiku wa manane. Kuna vijana wanne; A,B,C na D, wanahitaji kuvuka daraja lenye uwezo wa kuvusha watu wasiozidi wawili kwa wakati mmoja. Wote wanne wanahitajika wawe ng'ambo ya daraja baada ya...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
mwaka huu mikopo haitachelewa kuingizwa kwenye akaunt za wanafunzi,hii ni kupunguza maandamano ya wanafnz na maandalz ya uchaguz 2015,chanzo mdau wangu loan board.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwana Jf Naja, Jukwaani Napanda, Ninataka Kujua, Niondoe Ugiligili. Tz,Kenya Na Uganda Ni Ipi Inatisha, Inatisha Kwa Elimu Bora? Niambieni,nipate Fahamu. Nina Rafiki Mkenya, Pia Mganda, Wote Kwa...
0 Reactions
2 Replies
9K Views
Ndugu wadau, Nawaombeni kwa wale waliopitia shule ya Sekondari Kibohehe watukumbushe yale yaliyokuwa yanajiri kipindi hicho hasa miaka ya mid and late 80's. Mnakumbuka uhasama wa Kibohehe na...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Hatimaye chuo cha KCMC kimeongeza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga hapo baada ya awali majina hayo kutokuwepo.Kutazama jina lako log in kwenye web ya chuo ujionee.Ahsanteni tumsubiri heslb.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kwa yeyote anayejua web ambayo naweza kudownload novel za huyu jamaa, naomba anisaidie coz nimesoma novel zake kadhaa na nimevutiwa sana na uandishi wake. nice time guys:flypig:
0 Reactions
1 Replies
1K Views
huyu ni mwandishi wa vitabu vya michezo ya kuigiza ambaye alizaliwa mwaka 1526. Shakespeare inaaminika kwamba ndiye mwandishi bora kabisa wa michezo ya kuigiza ambaye hajawahi kutokea. Toka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini, wako hatarini kuchelewa kupata fedha za mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kutokana na mchakato wa kutoa mikopo...
2 Reactions
19 Replies
6K Views
Jamani waungwana naomba maoni yenu kuhusu chuo cha st johns campus ya dar es salaam nyie mnakionaje? na kinatoa course gan? Ahsanteni.
0 Reactions
3 Replies
7K Views
MADHARA YA KUPAPATIKIA BUMU HAYA HAPA HADHARANI Naitwa XXX mimi ni mwanafunzi niliyemaliza Bwiru secondary. Ninaishi njombe, nilitamani sana kusoma chuo kikuu chochote hapa Tanzania na wakati...
5 Reactions
38 Replies
13K Views
Kuna tofauti kati ya joining instruction na admission letter?,kama jibu ni ndiyo aliyeipata hiyo admission letter ya Mbeya University of Science and Technology (joining instruction inapatikana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kujua na kisha tujadili malengo ya Elimu ya Msingi wakati huu wahitimu wa darasa la Saba wakijiandaa na Mtihani wa mwisho. Hii itatusaidia kufanya tathmini juu wa ubora wao kwa kuzingatia...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Short for Optical Mark Reading or Optical Mark Readers, OMR is a system that gathers information by using a hardware device that detects a reflection or an absence of reflection from a card...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Mwanzononi mwa mwezi wa August 2012, Azania Bank walitoa tangazo la nafasi moja ya Senior Insuarance Oficer.Mwenye tarifa kuhusu ama usaili umefanyika au bado naomba anijuze
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeshangazwa sana na kauli ya rais wa muso ktk gazeti la nipashe,eti tumetulizwa kwa kukopeshwa sh elfu hamsini in hali anajua hali halisi kuwa pesa zimecheleweshwa kwa wiki tatu,serikali yake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jambo Hli Linaweza likawa nje ya jukwaa le2 hili lakini kwakuwa kuna my fellow great thinkers na wengne,nisaidieni 2. nimefanya utafiti sana juu ya chanzo cha uoga na hofu inayomtanda mtu akiona...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu, Naomba mtumie namba hizi 8, 8, 3 na 3 na kuonyesha namna mtakavyopata namba 24 kwa kutumia namba hizo.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…