Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Natarajia kupiga baf mzumbe ila cjaona mwana jf yeyote wa mzumbe!jamani kama upo jitokeze nikujue !!!!!!!!!!!!!!!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Unakumbuka February 8 2012 wakati baraza la mitihani lilipotangaza matokeo ya kidato cha nne? stori kubwa ilikua mwanafunzi alieamua kuandika mistari ya bongo fleva kwenye sehemu ya kujibia...
1 Reactions
42 Replies
10K Views
Jamani mm ni mgeni sielewi chuo kipo upande upi,nisaidieni kunieleza sifa zake
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Taarifa kutoka vyuo mbalimbali vya Ualimu wa Sekondari ( T.T.C) zinasema kwamba mpaka tarehe 20/08/2012. idadi ya wanachuo waliochaguliwa kwenda kusomea stashahada ya elimu ni wachache mno pamoja...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
The Arusha-based, East African Business Council (EABC) has joined hands with the Kampala-based Inter-University Council for East Africa (IUCEA) in organizing a forum aimed at linking higher...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ni la kila mwaka vyuo kuongezeka matokeo yake mpaka mtu alikuwa na division 3 ya point 14 eti nayeye anapata chuo.wanasababisha population katika ajira pamoja na kushusha heshima ya degree
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Binafsi nipo Bachelor of science in Building Economics so design tukutane na wengine wa ki-Ardhi university.
0 Reactions
24 Replies
3K Views
TCU inawataka watu wahakikishe vyuo na programs walizo pangiwa,tafadhali soma link hapa chini TCU Website
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani mwenyekufahamu dawa ya mende naomba anijuilishe. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau kwa yeyote aliye na swali kuhusiana na chuo iki aulize mapema kwani wa2 weng mkifika pale watawatisha sana hasa kuhusiana na lecture 1 anaitwa Daudi singo
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wana Jamvi mie nimepangwa hapo IFM...BA,,,,,Naishi Arusha naomba msaada kuhusu mchakato wa kupata chance ya HOSTEL Nawasilisha wadau
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wadau naombeni mchango wenu as gr8 thinkerz... Wakat udom wanatoa list ya wanafunzi waliochaguliwa 2012/2013 jina langu sikuliona, nikafurahi nikidhan nimebaki hapa mjini, tcu walivyo release...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wale wote ambao wamechaguliwa vyuo/course ambazo hawajaomba kwa mujibu wa afisa wa tcu akitutangazia baadhi ya wanafunzi tuliofika tcu makao makuu, leo jioni watatoa taarifa kwa watu hao ili...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Big thanx kwa TCU kwa kutujuza wapi tumedahiliwa, and now macho na masikio yetu yanaelekea heslb ili tujue kama hizo kozi tutazimudu ama la, mwenye taarifa zozote juu ya hawa jamaa lini wanaweka...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
  • Closed
Wadau, Dada zangu flani hivi wanatafuta Hostel maeneo ya City Centre, zaidi zaidi upanga mpaka tarehe 15-November. Wako wanne na wako tayari kutoa laki each. Hostel ziwe upanga, posta au...
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Vipi DUCE wale waliopangwa pale tujuzane,nimeridhika kwenda pale
0 Reactions
5 Replies
1K Views
mimi nimechaguliwa hapo muccobs kwenye kozi fulani sasaa nilikuwa nataka mnipe maelezo ya kuhusu hicho chuo kipo wap mjini au kijijin vp hostel zipo au ndo za manati nawasilisha by...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Jamani wadau naombeni mnijuze kuhusu hili hv ni Chuo gani hapa Dar kinatoa Msc in IT au Comp science ukiacha UDSM?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna marafiki zangu wawili wamechaguliwa Opening University na sasa wanahitaji kusoma vyuo vya kawaida,watafanye?
0 Reactions
3 Replies
939 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…