Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

mliochaguliwa tumaini tujuane jaani
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Kwenye profile yangu nimeadmitted muccobs, lakini nikifungua website yao kwenye undergduated selection sioni jina langu,asanteni waungwana
0 Reactions
0 Replies
830 Views
Jaman naomben ushaur kuhusu híi kozi ina future nzuri au vip.?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
LIST OF APPLICANTS WHO WERE ALLOCATED BY TCU AND ARE REQUIRED TO CONFIRM THEIR ALLOCATION
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada nifanyeje kwani mimi nikiingia kwenye akaunti yangu ya TCU napata kama ifuatavyo SELECTION STATUS-NOT YET PROCESSED sasa sielewi kama niko admitted au vipi na pia kwenye majina...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Msaada tafadhali kuna ndugu yangu amepata admision IFM kwenye programe: Bachelor of Science in SOCIAL PROTECTION naomba mwenye uelewa wa hii kozi anijulisha baada ya hapo unakuwa nani? na soko...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ninahitaji unlock phone accessories,,nitazipataje ?price<
0 Reactions
2 Replies
996 Views
Wale wote ambao wamechaguliwa vyuo/course ambazo hawajaomba kwa mujibu wa afisa wa tcu akitutangazia baadhi ya wanafunzi tuliofika tcu makao makuu, leo jioni watatoa taarifa kwa watu hao ili...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamani mwenye kujua selection za vyuo vingine ukiacha udsm nimeona wametoa atusaidie
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tujuzane wakuu maana hali tete.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
For those (Form Six Applicants only) with programmes marked "NOT ELIGIBLE or CHECK IN PROGRESS...." Please >> CLICK HERE << to check for eligibility. Applicants...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kumbe ile research institution inayolalamikiwa kila siku na wananchi REDET ipo chini ya udsm? Kumbe mwigulu lowassa j.k, wamesoma pale? Hata dr michael kadeghe kumbe alikuwa pale?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Serikali za Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar zatoa azimio la kuwataka wanafunzi na vijana kuweka mbele maslahi ya nchi kwa kuelimishana na kuhamasishana juu ya haja ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna dogo wangu kachaguliwa LLB Open University anataka kubadilisha kwenda LLB ya jioni pale Turdaco. 1. Je inawezekana kubadili chuo after hizo Admission za TCU? 2. Vipi kuhusu sifa za...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
mbona mnazingua tu kila siku kalenda,sasa mtuambie hizo selection za vyuo mnatoa lini ili watu wajipange
0 Reactions
1 Replies
899 Views
Wale wa CUHAS tupeane mawaidha hapa. Panalipa-student life ?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani hivi vyuo Selection zao Lini????
0 Reactions
34 Replies
6K Views
kwa mnao soma sua au pengine mnaoifahamu hii fuclt ya bach. sciens in agricultural and agroeconomics vip naski a mziki mnene au mnasemaje? pia isn it mrketable. tujiandae kuja kusoma vt gan?
0 Reactions
2 Replies
923 Views
Jaman kuna kachuo kameongezwa 2nd round selection n kabranch cha SAUT kako Songea kana doctor of medicine so kama pcb na cbg unaomba through tcu kwa walio kosa na kama ulshachagua chuo kngne...
0 Reactions
56 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…