Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Nipo Igunga mapumziko. Kuna kijiji cha jirani (20km) watoto walifaulu 42 wote wakaripoti shule. Baada ya mwezi wameacha shule na sasa kati ya hao 42 wamebaki 5 tu. Igunga inakwenda wapi? Mbunge...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Vp udsm wametoa selection za postgraduate 2012/2013? Natanguliza shukrani.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
TCU, can you please be dutiful! mara information zenu zileak, mara mtoe incomplete information and so many rubbishes!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nipo hapa nimeboreka, najaribu ku-reminisce matukio mbalimbali ya maisha yangu. Wangapi hapa walishuhudia hii shughuli kwa namna moja ama nyingine? Unakumbuka nini kuhusu tukio hili?
0 Reactions
58 Replies
10K Views
msikose kuangalia ma TO`s ndani ya bunge watakavyopewa stahili zao
0 Reactions
17 Replies
1K Views
wana jf hii kozi ya procurement nimeichagua pale MUCCOBs na vip suala la ajira naweza pata ajira yenye mshahara mzuri!
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo, George Nyatogo BODI ya Mikopo ya Elimu ya Juu nchini pamoja na Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imewaengua zaidi ya wanafunzi 3074 walioomba vyuo na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jana kwenye changia chadema.mh mbowe alitoa vipaumbele vitatu pindi chadema watakapoingia madarakani mwaka 2015.ipaumbele hivyo ni: 1.elimu 2.elimu 3.elimu walimu wanachotakiwa kufanya kuanzia...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
tcu
tcu to xtend the names of selected applicants
0 Reactions
14 Replies
2K Views
ndugu zangu swala la mikopo kwa watakao chaguliwa second round ni ndoto, coz hata mwaka wa jana hakuna aliye pata hata mmja, xo guyz mjipnge kwa hilo.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
serikali iliangalie suala hili kwa sura ya nje sio ya utawala wa chuo sababu aliyotoa waziri kuhalalisha kunyima vyeti wanafunzi kwa sababu eti waligoma kusaini sio sahihi. wawaite...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Naskia hizi selection za UDSM ni feki........wabongo wamechakachua
1 Reactions
21 Replies
3K Views
hawa kwa nini watoe selection za udsm pekee halafu sisi wengine wanaturusha mpaka leo!!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa taarifa nilizozipata kutoka kwenye website ya Tanzania Commission for Universities (TCU) zinasema;"kwa wale waliomaliza kidato cha sita, Diploma za Elimu Ufundi na ualimu mwaka 2012 wataanza...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Welcome to HESLB NOTICE TO 2012/13 LOAN APPLICANTS During the exercise of processing 2012/13 loan application...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Huyu jamaa atakua na details zetu, kama yupo humu adondoshe mzigo
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wale ambao wamekosea application heslb kwa kutoweka picha "passport size" wafanye vp marekebisho au ndo ishakula kwao?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna habari nyingi mtaani kuwa mb John Mnyika ana masters degree toka nchini brazili, mwenye habari na hii naomba atujuze na ni nai aligharimia hiyo degree kwani pamoja na kumjua mnyika hili...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
:flypig::israel::flypig::flypig::A S 465:jaman tcu leo ndio tarehe 14/8/2012,,au kalenda yenu c ya kitanzania?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani habari zenu? Naomba msaada wenu katika hili,dogo wangu anashindwa kulog in kwenye account yake ya TCU wakati mwanzoni kipindi cha applications alikfanya vizuri tu na akawa anaweza kuingia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…