Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wadau,nisaidieni nipo huku s/wanga course zangu inapata wiki sasa check in progress,wakati zilikuwa vizuri tu kwa anaye fahamu lolote anisaidie maana tcu cm hawapokei.
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Jamani nikweli m2 anaweza pokelewa ktk chuo kikuu chochote hapa tz kwajili ya mafunzo ya digrii ikiwa amehitimu mafunzo ya diploma ya elimu ktk chuo cha moumt meru university bila kupitia kidato...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu nitakuwepo jiji hili la nusu raha nusu taabu, kwa muda mrefu kidogo. Naomba kwa anaye fahamu sehemu ninayoweza kujifunzia lugha ya Kijerumani anisaidie, ikiwezekana na bei zao. Natanguliza...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Serikali ina mpango wa kufuta ufaulu wa Daraja la IV (Division IV) kwa wahitimu wa kidato cha IV kwenda kusoma katika vyuo vya ualimu. Suala hilo limedokezwa leo na Naibu waziri -Phillipo Mulugo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
There’s a popular NYTimes op’ed titled “Is Algebra Necessary?” which questions the need for kids to learn advanced math. The author cites that failing algebra is a large reason why many students...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau mliopitia Bungo primary school kwa Mwalimu Achimpota..kama mpo umu tukumbushiane enzi zile mie nimepitia pale mwishoni mwa miaka ya tisini..ilikuwa ndio the best primary school.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu zangu,nina kijana wangu amemaliza kozi ya ualimu mwaka huu,amefauru masomo yote ya ualimu wa primary isipokuwa somo moja tu la UALIMU,Akaandikiwa FAILED,Nahitaji kukata rufaa naomba msaada...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Wadau hili swali linaumiza sana. Naombeni mwenye kujua,wakati waakoloni wanaligawa bara la afrika ujerumani ndiyo lilikuwa taifa kubwa na mkutano wa kugawa ulifanyika kwao na wao ndio walikuwa na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za saa hizi mabibi na mabwana! Kwa wadau watoto wa wakulima, eti kuna ongezeko la ada la vyuo hv kutoka 75000/= mpaka 100000/=? Kama lipo sio mbaya je linawahusu wanaoanza au wote...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Matokeo ya walochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu mwaka huu yameachiwa humu Jf?
0 Reactions
4 Replies
17K Views
Harun alimwajiri jasusi makhususi kwa ajili ya kuchunguza na kuripoti kwake juu ya imani na akida sahihi za Bahlul. Baada ya siku chache huyo jasusi alikamilisha uchunguzi wake na kuripoti kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ANAKULA Visivyoliwa atamalizwa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wanafunzi wa mwaka huu wana viherehere sana vya kwenda vyuo ili na wao angalau waweke record walifika chuo
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Wadau msaada wenu mwenye kujua hii kitu ,kinaanzishwa sana ktk mapori yaliyoifadhiwa na inafaida gani kwa wanakijiji au ndo njia ile ile ya kuwaumiza wanakijiji?
0 Reactions
0 Replies
805 Views
MIGOMO KISHA MAHAKAMA ZIKASEMA NI BATILI BADO KUAHIRISHA HAKI SIO SULUHISHO LA MADAI YA WANYONGE Hatuwezi kuwalipa Madaktari iweje tuwalipe hawa wana wa wito kama hawataki tunazowapa wanaweza...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani muda huu nimelog in kwenye account yangu kuona kama kuna jipya.Cha ajabu nimekuta ktk zile program nilizochagua kuna moja imeondolewa na badala yake kwenye ile nafasi nimekuta kozi nyingine...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Dear, Jamii forum members, a community of great thinkers, Iwould like to ask for your favor. Currently I'm having an offer later for theMaster of Education Gender and International Development...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
By Edward Qorro The Citizen Reporter Dar es Salaam. The use of internet among higher learning institutions must be something to worry if the latest ranking on Information and...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Prove that 2+2=0. Art student – this question is out of syllabus. Commerce student – problem is not well defined. Doctor – research in progress but no result found. Engineering student...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…