SHORT COURSE ANNOUNCEMENT ON DATA PROCESSING AND ANALYSIS
University of Dodoma
College of Natural and Mathematical Sciences School of Mathematical Sciences Department of Statistics...
SHORT COURSE ANNOUNCEMENT ON DATA PROCESSING AND ANALYSIS
University of Dodoma
College of Natural and Mathematical Sciences School of Mathematical Sciences Department of Statistics...
Nimeikumbuka shule yangu Jamhuri Dodoma miaka ya 2004-2006 ilikuwa inatisha balaa! 2likuwa 2kigongewa lecture wengine wapo madirishani kama 2po chuo vile. Maticha waliobobea kama mzazi aka Beda...
Hellow wadau wa jf naomba kuuliza vp arusha university masters ya pale inatambulika? na waajir wanaichukulia aje? maana na mpango wa ku apply masters pale.ushaur wenu please
Tanzania inabidi iangalie uwezekano wa kubadilisha mitaala ya elimu, kwa sasa masomo ni mengi,hili hufanya wanafunzi
kushindwa kuyabeba.
PENDEKEZO: Kuanzia kidato cha kwanza wanafunzi wasome yale...
habari za uhakika kutoka clouds fm zinasema kuwa usku wa kuamkia leo wez walivamia tcu na kuchukua baadhi ya vyombo vya kaz, walinz mpaka sasa hawana fahamu, cha kushkuru mungu ni kwamba data za...
Mwenye More info regarding this atupe! kuna wageni wawili kutoka NASA Marekani wapo Dodoma wamekuja jana watafanya presentation na ku-form partnership Na University, ila hawakutaka kutoa more info...
Hii site ya TCU inahujumiwa au ni tatizo la kiufundi?Juzi nilikwama kulog in na jana kupitia mtandao huu kwenye jukwa hili nilikuta ushauri kuwa kama umeingiza password yako ikagoma tumia password...
Hakika uongozi wa chuo hiki umejawa na uozo, tamaa na uzembe haiwezekani mpaka xaxa wanafunzi hawajapewa hela yao ya kujikimu wakat wa mafunzo kwa vitendo, ukizingatia walitangaziwa kuwa malipo...
Wana JF na walimu wenzangu,
Nimekuwa nikiwaza na kusikitishwa sana na kasi ya wanafunzi wetu kumaliza Elimu ya Msingi bila kujua kusoma na hata kuandika. Na sasa Serikali imeanzisha mfumo wa...
majuz tu tokeo limetoka..napenda sana maths na katika aplications zangu nimeweka bsci in mathematics ya pale UDOM..dah yan niko dilema sielew mana kila kukicha naskia watu wanaponda mbaya hiki...
Mdogo wangu aliyemaliza form six amekosea kujaza form za TCU katika mfumo wa OLAS.Katika cheti ya cha kuzaliwa inaonekana amezaliwa wilaya ya mbozi lakini katika form za TCU ameandika amezaliwa...
Walimu wa Tanzania wanaweza kuwa ni watumishi pekee duniani kupewa nafasi ya mwisho katika malipo. Wapo baadhi ya watu wanajiaminisha kwamba mgomo wa mwalimu hauna athari yoyote kwa nchi. Nafikiri...
Katika miaka ya hivi karibuni watu wengi wameongeza Dr( PhD) kabla ya majina yao. Ni kweli kuna watu wamestruggle kupata hizo PhDs kwa kukaa darasani na kufanya tafiti kwa muda mrefu, kuna wengine...
Mimi ni mmoja wa watu walioomba master pale sasa ninachokiona ni kuwa wanaandaa mazingira ya rushwa kwa sasa wanapigia mtu mmoja mmjo simu sasa nikawa na maswali kidogo inamaana hawazi kuweka...
habari zenu wadau. Natumai mu buheri wa afya.
Naomba msaada kwa anejua chuo kizuri kinachofundisha vizuri Accounting packages kwa hapa Dar es Salaam. aSANTENI SANA.
Wakuu,hawa tcu vipi?walitushauri tuklie application na tufanye re-application lakini nashangaa wiki inakatika sasa na wenyewe bado tu wameniandikia kwenye kozi husika checking in progress.kama...