Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Katika habari ya muktasari ya EA TV, leo tar 11. 5 . 2012 jioni juma tatu, walidai cwt waipa serikali siku 30, ipandishe salary kwa %100. Tell me something more or less.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habr wakuu!! Kuna mdogo wng amepigiwa simu asubuh ya leo. Walimuuliza huyu dogo kwamba naongea na frenk? Dogo akamwambia ndo mm. Akaendelea na maongez bwana huyo kwamba 2meona fomu yako ya maombi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Shule ya msingi Kisambi ipo bagamoyo inawalimu 2 tu shule haina nyumba ya mwl, mwl mkuu anatembea males 16 kufika shule, darasa moja wanasoma wanafunzi wa madarasa matatu kwa pamoja yani la 1, la...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
amesimamishwa kufuatana na madai ya waislam. itv news.
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Haya haya wadau,nimeamua kuleta mada hii baada ya kujitokeza kaubishani kidogo somewhere juu ya nani zaidi katika sekta ya ICT kati ya IT geek,injinia wa computer,mwanasayansi wa computer au...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Nachukua fursa hii kuwahabarisha wana wa adamu hususani wakristo kuwa yaliyobainika NECTA kupitia matokeo ya somo la IslamicKnowledge kwa kidato cha sita ni dalili tosha kuwa yaliyodaiwa na...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Hello wanajf mi nimemaliza form 6 nilipata div 3 ya point14 PCB comb.(phys-S,chem-C,bio-E) Hivi nitaweza kusoma veterinary medicine SUA maana nasikia ushindani ni mkubwa na admn capacity yao ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Imeripotiwa kwamba mfumo duni wa Elimu hauwapatii wahitimu wa sekondai wakiwemo Form Six sifa za msingi za kuajiriwa. Inasemekana pindi wamalizapo skuli hawaajiriki kwa sababu zifuatazo; Wengi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jf okoeni mwenzenu nahitaji link ambayo naweza pata assessment of procurement methods in Tanzania. nime googlize lkn naona ripoti nyingi hazina nyanga za kutosha nitupie basi hata kama ni ya ofsin...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WANAMBINGA WOTE WENYE MAPENZI MEMA NA MBINGA WAISHIO JIJINI DAR ES SALAAM MNATANGAZIWA KUWA JUMAMOSI HII (JUNE 9, 2012) KUNA KIKAO CHA KUJADILI MSTAKABALI WA MAENDELEO YA MBINGA...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
HI! WANA JF. Kuna jambo ningependa kufahamu juu ya ukosefu wa majina kwa baadhi ya wanafunzi wa stashahada ktk taasisi ya serikali(TCU).Mfano mdogo ni ukosefu wa majina yote ya wanaCBE-MWANZA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
tofauti kati ya BBA-MKTNG,BCOM MKTNG na MKTNG ni ipi? Pia ukiacha kua marketin oficer/manager unaeza kufanya kaz gan nyingne? Kwa mfano ukisoma BBA-MKTNG sasa unakua busines administrator or...
0 Reactions
0 Replies
716 Views
ivi BBA-MKTNG,BCOM-MKTNG na MKTNG zna tofaut gan? apart kua marketing manager/oficer unaweza ukafanya kaz gani nyingine? pia kwamfano umesoma BBA-MKT ina maana u r a busines administrator or you...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Wana jf mara nyingi nimesikia malalamiko kuhusu necta ktk usahishaji mitihani kiwango cha sekondari ngazi zote(o-level hadi advance),watahiniwa binafsi wanasahishiwa kwa kiwango cha kufaulu...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari za Mchana wanaJf. Wadau kulikuwa na thread humu jukwani iliyohusu kuwanunulia watoto vitabu kuwa vinaenmcourage kusoma. Mimi nilifuata ule ushauri ni kamnunulia mtoto wangu vitabu 2 na...
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Habari wasomaji wote. Ningependa kuwashirikisha wanabodi wote hapa ya kuwa katika serikali hii ya JMT kuna mamlaka inayojishughulisha na masuala ya hali ya hewa nchini. Kuna watu wengi pengine...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Jina la chet cha kuzaliwa ni tofaut na nnalo 2mia shule.Na nahitajika kuambatanisha hicho chet ktk form ya mkopo.Issack>isack je kuna shida?
0 Reactions
3 Replies
973 Views
Wana jf naomba mnijulishe mipaka Ya Tanzania kwa Majina na Eneo husika. Mfano Tanzania mkoa wa Mbeya umepakana Malawi(Kasumulo) na zambia(Tunduma), Mwenye kuijua azidi atujuze...
0 Reactions
0 Replies
10K Views
Viongozi wa kesho watakuwa na ujuzi gani ikiwa waalimu wao wanawauzia wanafunzi mitihan?
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Wakati naanza shule ya msingi,niliaminishwa na kuamini kuwa wanafunzi wanaosoma Shule za Serikali ndio wenye 'akili' kuliko wale wa shule za binafsi.Nikaendelea kuamini hivyo hata nilipoanza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…