Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wadau,nimekua napekua pekua magazeti mbalimbali ili kufuatlia budget ya mwaka ujao,lakin naona sector ya elimu haijapewa kipaumbele tena kama miaka iliyotangulia!!sasa najiuliza,ndo kwamba...
0 Reactions
1 Replies
896 Views
Wadau kuna chuo South Africa kinatoa full scholarship kwa wanafunzi wanaotaka kusoma masters by research na doctorial degree . REQUIREMENTS: 1.)proposal ya resarch yako. 2.)Certified copies...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
nimekuwa nikiangalia mada mbali mbali kuhusu usomaji wa vitabu.naamini kama msomi wa chuo kikuu mwaka wa tatu hawezi andika kisomi hili ni jibu tosha ni wakati wa kuwaelekeza au kufundisha na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heshima mbele, naomba msaada wa lugha ya kiingereza kwenye nafasi ya kazi tajwa hapo juu
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Huiwisheni elimu kwa kuwalipa mshahara mnono , mke wangu hupoteza muda akijua siku moja elimu itafikiriwa kwa umakini wa pekee
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1.Afisa elimu taaluma 2.Afisa elimu vielelezo, msaada tafadhali
0 Reactions
0 Replies
2K Views
1.Afisa elimu taaluma 2.Afisa elimu vielelezo,
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Baada ya kuhangaika sana hukuhuku na kule kupindisha mambo kwa muda mrefu jana jioni mgombea wa urais mwenye itikadi kali sana za cdm ameibuka kidedea.
1 Reactions
35 Replies
4K Views
  • Closed
Habari ambazo nimezipata kutoka katika Chanzo nachokiamini ambacho kina uhusiano na Baraza la Mitihani (NECTA) ni kua ulikuwepo mkakati wa kuwafelisha wanafunzi wa Form six waliofanya somo la...
1 Reactions
207 Replies
17K Views
Wandugu kwa anayefahamu shule nzuri za wasichana, ada na mawasiliano kwa mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Singida, Singida, Morogoro, Iringa Njombe, na Mbeya
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Vyama vya mahala wanakotoka wanafunzi wa elimu ya juu vinachochea ukabila na ukanda au ni chachu ya maendeleo katika maeneo watokako?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hatimaye Serikali ya Wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam aka UDSM imepata safu mpya ya uongozi.Rais mpya wa DARUSO ni Ndugu Itembe Bhukombe ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa pili...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi, jf memberz plz na0mba kwa yey0te anayejua jamb0 l0l0te linal0husu shule ya 0ld M0shi a.k.a m0shi sec, je ip0 wilaya gani, je ktk hy0 wilaya ni mjini 0r vijijini na mengney0 mabaya kwa mazuri.!
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Kwa brothers and sisters mliosoma hiyo course hapo juu nlikuwa naomba kuuliza kitu kuhusu hiyo course sababu nimeona kwa UDSM na Ardhi ni miaka 4 lakini kwa St Agustine ni miaka 3,sasa nlitaka...
0 Reactions
42 Replies
10K Views
Nimelikumbuka sana lile shule japo nimesoma enzi za Daffa na lulandala, jioni kama kawaida ilikuwa lazima nijae kaole!
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Tafadhali nisaidieni kujua taasisi ya watu wazima kama unaju.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wadau naomba mnisaidie nitakipata wapi kitabu cha hayati Shaban Robert ,ADILI NA NDUGUZE
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Habari wapendwa, Naomba wazazi mnisaidie kuniambia kati ya Dar-es-saalam Independent School (DIS) na Academic International School, ipi ni shule nzuri kitaaluma na mambo mengine muhimu kuzingatia...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
wadau naomba kujua sifa na vigezo vya kujiunga na chuo hicho.
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Wakuu nimeiona hii kwa michuzi kwa wenyeji wa chuo hiki, vipi chuo kimeshawahi kufanya hivi vitu? Nimetuma email kuulizia maelekezo zaidi haijajibiwa bado. Naombeni ushauri.
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…