Wakuu kuna course ya data analysis using spss na ms exel inafundishwa udsm details hizi hapa
1.mahali- ucc mbezi beach branch mbele ya kituo cha goigi.
2.muda wa lumaliza course-ni course ya wiki...
Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania imeamua kutoa mfumo mpya wa elimu ambapo imetoa rasimu ya mfumo mpya wa kutoa elimu kuanzia ngazi ya chekechea mpaka ngazi ya elimu ya juu.
Katika sera...
hebu nisaidien brudas n sistas kwa nini miaka ya karibuni kidato cha nne kimekua na sifa zisizo rizisha.Nini tatizo jamani au sisi student ndo wakulaumiwa?
Habari wanajamii forumz, natamani kwenda kusoma masterz Uk au USA, nia yangu ni kusoma kwa njia ya online nikiwa huko, ili niweze kupata muda kufanya kazi ili niweze kumuda maisha ya huko na...
wakuu dogo wangu anataka kujiunga na chuo kikuu huria course ya Busneness admistration bachela,sa ananiomba ushauri kwasababu ana principle mbili Pekee! Naombeni mawazo hapa waungwana...
Habari zenu wakubwa! Ebana mada iliyonifanya niilete mbele yenu ni inagusa watoto wengi wa maskini ndani ya nchi hii. Je wadau ninaomba kujua na kuelewa utaratibu mzima wa watu wanaofanya mtihani...
Salamu zenu wakuu,nna mdogo kamaliza cbg anapendelea cozi za mambo ya mifugo na kilimo. Je ni ipi ambayo akiiso itamuwezesha kupata ajira au kujiajiri mwenyewe na akatoka kimaisha?
Isiwe ya...
Kwa mujibu wa ripoti ya survey iliyofanywa na National Bureau of statistics; Mikoa ya Tabora na Dodoma ndio inayoongoza kwa kuwa na asilimia kubwa ya wakazi wake kamwe hawajawahi kufika shuleni...
Heshima mbele wakuu wangu. Nilizoea kudownload digital books online kupitia library.nu, sasa ngoma naona imegeuka. Leo najaribu ku-access hiyo web adress nakutana na haya maneno "THE DOMAIN...
kwa habari nlizonazo za uhakika toka viongozi wa juu chuo kikuu mliman kina mpango wa kufuta undergraduate degree zote na kubakisha masters phd na kuendelea hii inalenga kutengeneza lectures na...
hasa hawa wa shule za ST.
wakiingia vyuoni hushindwa hata div 111 za shule za kata.
pale UDSM tulisoma na dada mmoja, huyu ndie kati ya wanafunzi 10 bora mtihani wa kidato cah nne.
lkn alipokuha...
Ninavyofahamu mimi mojawapo ya vigezo vya mwanafunzi kufanya vizuri katika masomo yake inachangiwa pamoja na mazingira anayoishi na ya kujifunzia. Hali hii ni tofauti sana katika chuo cha Mipango...
WanaJF kuna hivi vitu vinanchanganya mimi nnapenda Computer engineering, ila kuna hii wanaita Computer science je ni nini tofauti zake? Na pia kuna kitu wanakiita Electrical and computer system...
Kijana mmoja baada ya matokeo yake ya kidato cha nne kuwa mabaya sasa ameamua kwanza kwenda kujifunza kiingereza nchini Uganda ili baadae aje arudie mitihani yake. Najiuliza hivi elimu yetu iko...
kama ni suala la uwekezaji basi tz tumeshinda!walimu wa shule moja ya awali(Grace) inayomilikiwa na raia kutoka korea,iliyopo kigamboni wanalalamikia utaratibu wa shule hiyo kutumia utamaduni wa...
Waungwana naomba nisaidiwe kwa hili nataka nijue ni vyuo gani vya india vinavyotambulika na tcu au ni sifa gani wanazozitumia tcu kukitambua chuo kuwa ni sifa za chuo? thanks
toka mwaka huu wamasomo uanze cjaielewa serkal na loans board.wanasema kupata mkopo lazma usain sa inashangaza vyuo km udom na saut vnawanafunz weng lakn kusain lazma na chuo km udsm kutokusaini...