Wakuu,
Matokeo ya mitihani ya kidato cha nne 2011 yanaonyesha kuwa asilimia 92.1 ya wanafunzi 426,314 waliofanya mitihani hiyo wamepata Div 0 na Four? Je tunaelekea wapi kama Taifa???
UEA International Development Scholarships For Students From Developing Countries
Sheffield Hallam University International Achievement Scholarship
New Zealand Development Scholarships...
Serikali lazima iingilie kati kukomesha tabia ya ubaguzi na upendeleo iliyoshamiri ktk idara ya elimu sekondari manispaa ya Bukoba. Afisa elimu sekondari pamoja na wakuu wa shule wamekuwa vinara...
Ni kwel kitendo walichokifanya hawa wanafunzi sio cha kuvumilia lakin je hii adhabu ya kufungiwa miaka mitatu hawa wanafunzi itawajenga au ndo itazidi kuwabomoa?
Nilizungumzia umakini wa kiutendaji hapa shuleni kwetu KIBANGU ENGLISH MEDIUM SCHOOL, the form and methods which are applied are child centered , and the concern as it has always been, is to...
Baada ya kukaa muda mrefu bila boom, sasa kuna taarifa kwamba kuanzia j'moc zoezi la kusaini litaanza. Nikiwa km mwanafunzi na mwajiriwa wa chuo hiki nimesononeshwa sana kwa jinsi uongozi wa chuo...
Najua itakuwa ngumu kueleweka kwa urahisi kwa sababu baadhi ya makabila hayawezi kutenganisha kati ya R na L.
Hivyo naomba mwenye utalaamu mzuri wa kuelezea aweze kunisaidia kwa faida yangu na...
Wadau
Mimi ni mmoja wa wadau wa elimu ,kwa upande wa mafunzo ya ufundi stadi (namiliki chuo cha kompyuta focused on mid and low class societies only ) ,Kuna proposal ninaandika ili nipate...
Wana JF naomba kama kuna mwenye uhakika. Nimepata tetesi kuwa baadhi ya vyuo vikuu ambavyo wanafunzi wake tuko likizo fupi ya kumaliza semester 1 vitachelewa kwa kuwa loan board haina hela za...
Tukiwa na siku tatu, tu toka tufungue chuo baada ya kuwa na likizo ya wiki tatu, hakuna Boom (yaani hela ya kujikimu tukiwa chuo) cha ajabu ni kwamba hela hii aliyepewa dhamana ya kutoa hela hizo...
Katika nchi yenye serikali ambayo inawajibika kwa wananchi wake haiwezi fanya makosa ya aina moja kila siku.Yaani nimeandika habari hii kutokana na mateso wanayopata wanafunzi wa vyuo kutokana na...
Wadau..
Nina mpendwa amemaliza form IV mwaka jana hapa dar na hakupata alama zinazotakiwa kuendelea mbele kielimu..
Ameamua kurudia mtihani. Changamoto kuu ni kuhitaji kufahama Vituo vipi vinatoa...
kwa kuchukulia hatua ghidi ya walimu ambao hawahudhuriii madarasani,hebu angalia ni nani asiye jua maisha ya mwalimu yakoje kiuchumi,nani asiyejua hao viongozi wetu wanabiashara gani pia...
baad ya kusubir matokeo kwa shauk kubwa ss kila k2 hadharan kwa wale wenye zali la mentali tunachosubr kwa ss ni lin post zitatoka na shule gan tutapangiw vlvl kwa wanaofahamu naomba kuorodheshewa...
Habari magreat thinkers! Jamani kama kuna mtu ana ufahamu jinsi ya kusoma 4m5 na credit 2 and at the same time unatafuta credit 1, je ni kweli baada ya kupata 1 crdt utaruhusiwa...
"Education is a key of life".. This quote has been a world anthem, everybody needs to know it..
Imagine you always doing the best you can to have better performance in your studies, but always end...
wakuu kiwango cha kufel kwa hawa ndugu zetu kidato cha nne kutaisha lin ....!nahc kama kila mwaka namba ya wanaofeli mtihan huo wanazid nin serikali na jamii kwa ujumla tukifanye kuepukana na...