Wanafunzi mkoa wa pwani,rufiji wanagomea menejimenti za shule zao wakizitaka ziachie madaraka.Migomo hyo inafanywa pamoja na wazazi wa watoto hao.Serikali,hebu komesheni tabia hii...
Jaman naombeni mnisaidie school ambazo zina walimu na mazingira ya kusoma vizuri ya private O-level ila ada isizidi 1 million za Tz kuna dogo hapa tunataka kumuamisha mashule ya kata condition ni...
wana UDOM chuo chetu kinavituko haswaaaaa cheti changu picha ya mwingine..... kweli waungwana tutafika
Friday at 12:28pm
xxx ha ha ha changu kiliandikwa lower secnd na ni upper second...
Wandugu nimeona wizara ya afya imetoa nafasi za certificate na diploma katika course mbalimbali, mwenye taarifa yoyote kuhusu wizara ya kilimo kama wametoa au wameshatoa??????
Uganda National Examination Board (UNEB) has released the 2011 Uganda Advanced Certificate of Education(UACE) showing a slight improvement in the general performance of major principal subjects...
Jamani wataalam au wazoefu wa kuhusiana na elimu ya juu, wanafunzi wana haki gani pale wanapotungiwa mtihani nje ya topic walizofundishwa? Kwani udom yamewakuta hayo wanasheria wasaidieni hawa
Kwanza Pole na kazi nzuri.
Pili, naomba hili uliweke maanani: Mzazi Mwenzetu Kikwete na mama Salma walikwazika sana kwa jinsi jamii ilivyokuwa ikimjadili mtoto wao aliyekuwa Feza Girls,matokeo...
Nimejaribu kumtafuta huyu mtu au hata kupata habari zake bila mafanikio. Kahando Sanyagi aka CODO BALANCE, alikuwa msanii na mchekeshaji wa maigizo pale shuleni miaka ya 90 na 92. Kwa anayejua...
Nashindwa kuelewa sababu ya huyu Shaaban Robert ambaye anafananishwa na shakespere hapa Tanzania kutopewa hata shahada ya heshima ili kuienzi kazi yake lakini kuna watu wanatunukiwa tu hizo...
Ndugu zangu ni mara kadhaa kumekuwa na thrend kuhusu bodi ya mikopo na namna inavyofanya kazi. Watu wengi walitoa mawazo na ushauri za uhakika na yanayotekelezeka. Pamoja na hayo, kulikuwa na...
Habari wana jamvi, katika heka heka za kumtafutia mdogo wangu sehemu ya kujiandaa kwa ajiri ya kurudia mtihani wake wa kidato cha nne, nimekutana na Mapambano ile centre ya pale nyuma ya Nakiete...
Habari zenu wadau, naomba kuuliza iwapo mtu aliyemaliza kidato cha nne anaweza kusoma chuo cha Ardhi cha Tabora, na ni kozi gani mtu akimaliza anapewa ajira moja kwa moja
Habari zenu wadau. Kuna mdogo wangu anatafuta shule nzuri ya GIRLS (bording)inayofundisha ya advance mchepuo wa HGE. Yenye kutoza ada nafuu.msaada please
Taasisi za elimu kawaida ni mahali ambapo wanafunzi wangepaswa wafundishwe uzalendo.Lakini katika nchi yetu hali ni tofauti kwani wanafunzi hufundishwa uoga na unyenyekevu kwa watawala...
Walimu walioajiriwa mwaka huu walikaa mitaani kwa muda wa miezi nane yaani tangu wahitimu vyuo mwaka jana mwezi wa tano. Sababu ya walimu hao kukaa mitaani kwa muda mrefu baada ya kuhitimu vyuo ni...