Moja:
K utokana na matokeo ya form kwa wanafunzi kuandika ambavyo havihusihani na majibu mf. Mashairi ya bongo flavour, matusi nk hivi ni kweli ndo adolcence age? Au ndo hawajui...
Natafuta jina la shule ambalo zamani likijulikana kwa "St. Gaspare Bertoni Secondary School" mbona silioni kwenye matokeo ya necta au jina limebadilishwa?
Serikali ya mexico imetoa scholarships. Gonga hapa
Sasa wakuu, ningeomba kwa wale walio na uzoefu na Mexico wamwage hapa ili tusije kuingia choo cha kikeni.
Shukurani.
Walimu wapya wilaya ya Muleba wamegoma kuchukua fedha za kujikimu ya siku 4 badala ya siku 7(diploma°ree)..afisa elimu na mkurugenz wamesema eti ndo agizo la kutoka wizara elimu na bado wakazid...
Wahusika nilisikia kuwa kuanzia mwaka huu wanafunzi wa Baed mwaka wa pili watapewa wote fedha sawa na si kwa asilimia kwa ajili ya field je ni kweli ilipitishwa?
nimekuwa nikifuatilia matokeo ya matokeo ya shule nyingi lakini cha kushangaza siku matokeo yanatangazwa katibu mkuu balaza la mitihani alisema kiwango cha kufaulu kimeongezeka...
Kwa wale wenye ufahanu kuhusu qualification za DIT au ambao mmesoma hapo au mna ndugu zenu hapo nisaidieni kwa matokeo yangu haya naweza kupata nafasi katika ordinary diplom in Labaratory...
Heshima zenu wakuu..
Naombeni taarifa ya sehemu nitakapoweza kupata scholarship kwa vyuo vya hapa nchini kwa ajili ya Masters. Mimi napendelea zaidi SUA kwa kuwa digrii yangu ya kwanza niliipata...
Naomba msaada wa mawazo yenu jamani.nilimaliza form six mwaka jana,nikapata division 2.10 katika combination ya Hge,nilichaguliwa chuo cha uhasibu katika fani ya economics with finance,lakini...
Jamani leo kumekuwa na kizaazaa pale halmashauri ya wilaya ya mvomero,moro,eti walimu wamepigiwa simu wafate pesa zao kufika huko wale wa stashahada wanaambiwa wasaign 135,000kwa stashahada na...
Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kushuka kwa kiwango cha elimu katika nchi yetu hasa katika matokeo ya hivi karibuni ya kidato cha Nne na Sita. Ni kweli kuna matatizo mengine ambayo...
wadau naomba mniambie ni shule zipi Dar es salaam mwanafunzi anaetaka kurudia kidato cha nne anaweza kupata nafasi ya kuwa full time darasani.Angalizo sio bora shule bali ni shule bora.
Jamani watu wa mwanza,nataka shule yenye mchepuo wa EGM boys bording priveat nzuri,niweze kumpeleka kijana wangu.
Mwenye kujua naomba anijuze niwai chukua form.
Mimi sikubahatika kusoma UDSM, lakini wale waliosoma pale na wale waliosoma vyuo vingine tunakubaliana kuwa Udsm ni taasisi inayoheshimika sana barani Afrika. Hii inatokana na jitihada za walimu...
Being the member of this libs,i have learnt that with efforts nothing is impossible. I was talking to the owner of this lib Mr Kalembe, and he pointed out that if the community will wake up and...