Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Walimu wapya wa sekondari wilaya ya Bariadi leo wameamua kuandamana kwenda ofisi ya mkurugenzi kudai hela zao za kujikimu baada ya kuona afisa elimu akiwadanganya,baada ya kwenda kuonana na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katikati ya mwaka jana,Benki ya Maendeleo ya Jamii(CRDB) ilitoa mabasi kadhaa kwa ajili ya kurahisisha au kupunguza adha ya usafiri kwa wanafunzi katika jiji la Dar es Salaam.Mabasi haya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wondering to know how to hack an email account? Well, before you can do that, you need to understand the real ways of hacking that actually work and also that are simply scam and do not work...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF..? Napenda kujua kama kuna members wa jamvi hili ambao ni ex -students wa Lutengano Sec. School ambao walimaliza kati ya mwaka 1986 na 1989. Karibuni tujuane katika jamvi hili.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo nimeenda Benki kumlipia mdogo wangu ada ya mwaka wa kwnz ktk Benki ya NMB niliingia mle ndani majira ya saa tatu dakika 35 hivi nikatoka saa 6 na robo mchana,yani imeniboa kweli kweli...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
QN; EXPLAIN THE EFFECTS OF POPULATION GROWTH IN DEVELOPING COUNTRIES LIKE TANZANIA. Population growth is the increase in population in a certain area. Spread of diseases the peole was due to...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Naombeni mnisaidie kutafuta chuo cha sheria kuanzia ngazi ya cheti.
0 Reactions
11 Replies
5K Views
you don't need to read the statistics of the ministry of education and vocational training to understand why there is always poor performance in government schools each year and good performance...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jf sio siri matokeo ya kidato cha nne ya shule ya secondary st Mary yanasikitisha hakuna hata mwanafunzi aliyeoata daraja la kwanza wala la pili.Kibaya zaidi ni kuwa ni moja ya shule ambazo...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
2012 Call for Applications: Tanzanian-German Centre for Postgraduate Scholarships in Law, Tanzania : 2012 2013 College Scholarships, PhD Scholarships, Postdoctoral, Graduate International...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ilianza kwenye barabara na sasa imeenea mpaka kwenye sekta ya elimu. Siku hizi ni kawaida kukuta shule zenye majina ya wanasiasa nchini. Huu mtindo wa shule kuwa na majina ya wanasiasa ulianza...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Tafadhali, mwenye kujua anisaidie. Natafuta shule NZURI (academically) ya PRIVATE A'level yenye masomo ya science (PCB & CBG) ktk mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Tanga. Ni kijana wakiume.
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Waziri: Mishahara ya walimu inapanda kwa kasi zaidi Saturday, 11 February 2012 09:22 SERIKALI imesema kuwa mishahara ya walimu imekuwa ikipanda kwa kiasi kikubwa kuliko watumishi wengine...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Kuna pesa ya nauli tu.source=kikao kati ya walimu wapya na mkuu wa wilaya,kaimu mkurugenzi na afisa elimu mwanza jiji
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba msaada wa material za kozi iliyotajwa hapo juu kwa yeyote aliye nayo.Kwa wenye mapenzi mema nipostie attachment kwenye ezranaths @hotmail.com
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nimejaribu kufuatilia elimu ya tanzania hasa kiwango cha degree, napata tabu kuona mwanafunzi wa chuo kikuu (ICT, ACCOUNTANCY etc) hawezi kufanya kazi za msingi kwenye fani yao. Hili limenitia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu wenye ufahamu naomba mnijuze. Mdogo wangu wa kike kapata div 111 point 25 kama ifuatavyo; english-b; civics-c; maths-d; kiswahili-d; art-d; bible-d; history-d; geography-d; history-d. 1...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu,imekua ni jambo la ajabu sana kua unaweza kuona baadhi ya wanafunzi huwa wanafaulu karibu mihula yote wanayokuaga darasani na vidato mbali mbali lakini inakuaga vigumu sana...
0 Reactions
31 Replies
10K Views
Na mwandishi wetu Fredy Azzah-Gazeti la mwananchi February 9, 2012 BARAZA la Mtihani la Taifa(Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika mwaka jana yanaonyesha kuwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…