Nimefika kuripoti hapa Tanga Jiji kulingana na post yangu ya ualimu inavyonielekeza, lakini mpaka muda huu hakuna anayetujali iwe Afisa Elimu wala Mkurugenzi, wao jibu ni moja tu hakuna pesa,wadau...
Haya madaktari waliona watu wanakufa na vigogo wanapelekwa India kwa sababu ya vifaa duni hospitali za Taifa, wakaona hapana.
Sasa kwa upande wa secondary za serikali hasa za kata, wanafunzi...
Eti kuna chalii wangu last year alifeli akarist akapiga for ya 30 c mbili za histry na languaje pamoja na d moja hayo mengine f sasa huyu chuo anakwenda
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato Nne mwaka 2009.
kusoma matokeo yote Link ipo hapa chini.
TEMBELEA: LINK HII UKAONE MATOKEO YOTE...
Edward Lowassa yule nguli wa siasa mwenye tuuma za kutosha na anayeendelea kusakamwa kila kukicha, kama vile Richmond, Dowans, vile vile jana tu kahusishwa na mgomo wa madaktari, Wabunge wa CCM...
Matokeo mabaya ya mitihani mashuleni nini chanzo;
1.Sera mbaya ya ufundishaji ikiwepo matumizi ya Lugha ngeni kama Kiingereza?
2.Kufutwa kwa adhabu ya viboko mashuleni kwamba kumepelekea...
Hizi shule zimenifurahisha sana kwa kuingia kwenye Top 10..hii inaonyesha shule za serikali nazo bado zimo pamoja na kufundishwa kwenye Mazingira Magumu na ukosefu wa walimu.
Jana Baraza la Mtihani la Taifa lilitangaza matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha nne uliofanyika mwaka jana. Matokeo hayo yanaonyesha kuwa kiwango cha kufaulu mwaka 2011 kimeongezeka kwa...
hii shule kila mwaka hutoa matokeo mabaya na hii inatokana na shule hii kufundisha sylabus ya uganda.....halafu mwisho wa siku
wanafanya mitihani necta......hivi unafikili matokeo yake...
MWANAFUNZI aliyekuwa kidato cha nne Shule ya Sekondari Morogoro inayomilikiwa na serikali, Sikuzani Kibwana, leo ameanguka ghafla na kupoteza fahamu katika chumba cha Intanet baada ya kusoma...
Waziri wa Elimui na Mafunzo ya ufundi, Dr. Shukuru Kawambwa.
Baadhi ya wasomi na wadau wametoa maoni kuhusu matokeo ya mtihani wa taifa kidato cha nne wa mwaka 2011, ambao matokeo yake...
Napenda kuwapongeza wanafunzi na walimu wa Maua Seminari (Moshi) kwa kuendelea kufanya vizuri kwenye mitihani yenu mwaka hadi mwaka. Mumekuwa mfano mzuri wa kuigwa kwa wanafunzi na walimu...
Ndugu ,natumaini mnakumbuka enzi mnasoma pale mbugani,,,,,tukuchekeshane,,,,tupeane changamoto karibuni ....hivi wali unaitwaje pale mbugani eti ,jina lake linafanana sana na mwalimu...
Dunia saiv imekua kijiji... Vp kama index no. ya Mwanaasha Jakaya Kikwete ilisambazwa kwa siri ktk markin centers... Then akafelishwa na markers au compilers..?? Kumbuka Walim wana madai ..hvyo je...
Huku halmashauri mambo hayaeleweki, vyanzo kutoka ndani ya serikali vimesema hakuna hela kwa sasa, hasa za kujikimu.......mi nipo hapa kinondoni, na hakijaeleweka.
Nani anasema uongo? Serikal...
Kumbe hata kwetu wapo!!!!!
Namba ya usajili S2811 VISIGA SEC SCHOOL
D1=0
D2=0
D3=2
D4=32
F=58.
Hizi ndizo shule zetu za kata mnazozitumia kujipatia kura.
kwanza nashukuru mungu niliyopata,naombeni mnisaidie kunijulisha ni shule gani the best za private au goverment kwenye combination ya HKL,naombeni mnijuze niijue niifanyie mchakato na kuifatilia...
Mdogo wangu amemaliza form 4 mwaka jana na matokeo yamekuja amepata DIV IV 27, Jaman naomben msaada kuhusu cha kumfanyia ili aweze kuendelea na mambo ya chuo.! Au huko vyuoni ni michosho.?,
na...