Jamani wana Jf naomba msaada wenu, nahitaji kujua ni vyuo vipi & vinapatikana wapi, vyenye kutoa CHETI /DIPLOMA ya fani ya Librarian. Kwa mwenye kufahamu naomba anijuze, & ikiwezekana anipe na...
Kwa baadhi ya wahitimu wa kidato cha nne wameonekana kuwa wali-cheat katika mitihani yao napendekeza uchunguzi mwingine uanzie kwa mwanafunzi "Mwanaasha MK" kwani alama zake zinatia mashaka...
Mchezo wenyewe ni huu.
Shule ya Hamamni na Haile salas ,Bembela zipo pua na Mdomo.Ukisema yeye anakusikia.
Shule hizi mbili hazipugui wanafunzi 500 kila moja.
Hamamni asilimia 90 wamezuiwa...
Habari zenu wakuu,imekua ni jambo la ajabu sana kua unaweza kuona baadhi ya wanafunzi huwa wanafaulu karibu mihula yote wanayokuaga darasani na vidato mbali mbali lakini inakuaga vigumu sana...
Matokeo ya Form Four Yametoka, Kwa Mara Nyingine tena Zaidi ya Aslimia 80 Wamefeli. Tuyaangalie haya Matokeo katika Mtindo Mwingine ambao uko Tofauti na Mtindo ambao NECTA wametumia...
Wadau naomba mwenye ushauri wa kisheria atusaidie, ndugu zangu wawili mmoja mwanamke na mmoja mwanamme, wanasoma shule tofauti wamefutiwa matokeo.
Hapa nyumbani ni majonzi matupu. Yaani bora...
Kwa kweli huu si uungwana wadau, nimepita kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii ya kibongo watu kibao wanaponda kufeli kwa mtoto wa president JK! Kwani whats so special about her, nae si alikuwa...
Jaman wote tuliopata matokeo yet ya form four na kubahatika kushinda na kuendelea na masomo ya advance tuungane leo kumshukuru MUNGU KILA mmoja kwa imani yake.kwani o'level ni daraja kubwa na...
jamani kama matokeo yalivyoonyesha wadogo zetu wamefeli sana hasa katika shule za kata,,je,wote waliofeli wataenda wapi??naombeni mchango wenu wanajamii...:A S-confused1::help:
In todays world a manager is faced with numerous responsibilities that require undivided attention. There is so much to give and there is less improvement on the self. Rarely do managers take...