Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Hivi ni kweli serikali haijatuma pesa za kujikimu na nauli kwa walimu wapya? Mbona nasikia halmashauri zingine wamelipwa!
0 Reactions
1 Replies
637 Views
Mojawapo ya wadaiwa Sugu wa HESLB ni 4716 KIKWETE, RIDHIWANI J Tembelea University of Dar es Salaam - Graduated Between 1994 & 2005 (Names K to L)
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kuuliza si ujinga eti wadau hivi mtu mwenye shahada ya BAED anatofauti gani na yule mwenye shahada ya BED kwani naona wote wamesomea tLUUM moja msada pls
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Kidato cha nne 2011 60% wamefeli ndo maana wanaba
0 Reactions
9 Replies
2K Views
JAMANI NAULIZA HIVI WALIMU WAPYA WANAORIPOTI WANAPEWA FEDHA ZA MIZIGO? Halafu ni shingapi kwa kiasigani? Plz jibu!!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
“VIONGOZI wamekuwa wakitupiga fiksi miaka yoote, ooh Kiswahili lugha ya taifa, ooh tujivunie Kiswahili, ooh tukienzi… Haya sasa nimejifunza Kiswahili kwa bidii na cheti nimekipata. Nakaa nasubiri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi JFs, Naomba nieleweshwe,....watahiniwa wa kujitegemea huwa wanapata maksi za chini sana (tukiacha suala la ukilaza). Nilijaribu kuulizia sababu lakini nikajibiwa na watu ninaoamini sio...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Inholland university ama Inholland hoogschool diemen,kimepata scandal ya kuwa kimekuwa kikitoa vyeti kirahisi kwa ajili ya kupata subsidy serikalini,wanafunzi waliomaliza karibuni imewachanganya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tafadhali kwa mwenye uhakika naomba kufahamishwa kwa walimu wa shahada tunapaswa kuwa na viambatanisho gani wakati wa kuripoti. Ahsanteni
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Matokeo nackia yameungua na kwa sasa wanatafuta namna ya kuya buni ili wayatoe feki watangalia continous assesment. Za shulen kwao
0 Reactions
23 Replies
12K Views
Kwa wale siku za mbeleni watataka kuja kusoma in the Netherlands wawe makini na hichi chuo cha Inholland hoogschool diemen ni chuo fake,kimekuwa kikitoa vyeti kwa urahisi kwa ajili ya kupata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale waliosoma A-level, nafikiri watakuwa wanakumbuka sana mambo yalivyokuwa walipokaribia kufanya mtihani wa F6. Nachukua fursa hii kuwataki mtihani mwema F6 wote. Mungu awabariki sana Awatie...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu wadau wa Jamii Forums (Jukwaa la Elimu) Kama hapo awali nilipowadokeza kuwa ninaandika kitabu kinachohusu mambo ya udhamini wa elimu ughaibuni...jina la kitabu ni SCHOLARSHIP OPPORTUNITIES...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tulioripoti,hapa halmashauri kwa upande wa sekondari mchakato unaendelea vizuri mpaka jana jioni,leo tena tunarudi pale.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wanajamvi mpaka sasa hivi kuna jamaa zangu wananipigia simu wametelekezwa vituoni huko Sengerema.Chaajabu mpaka sasa hawajui ni wapi wamepangiwa kazi na wanataka msaada sehemu ya kulala.Aliye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jaman cc ambao tulionyimwa mkopo yan NO LOAN tunateseka sana huku vyuoni na tumeappeal lakini chaajabu ni kwmba mpaka sasa loan board ipo kimya sasa wengine wanakosa matumaini ya kuendelea na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Taarifa za Africa mashariki (itv), zilikuwa na habari isemayo Uganda imepandisha bei ya kuwaona Sokwe hadi kufikia $750 kwa watalii wa nje. Kuangalia picha naona ni gorilla na sio sokwe...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
HABARI ZENU WANA JAMII FORUMS NATAFUTA MTU WA KUSOMA NAYE ACCA FINANCIAL MANAGEMENT F9 ALIYEKO MWANZA KWANI NAMI NIKO MWAMZA KIKAZI KWA SASA.NAMAANISHA KUSOMA KWA NJIA YA DISCUSSION.KWA ALIYE...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
As-salaam ndugu zangu wa jf. Naamini wote wazima wa afya,mimi huku mzima,hofu kwenu muliombali nami. Madhumuni ya barua hii ni kuwafahamisha mnamo siku ya jumatatu,tarehe 6 jan 2012...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
UDHAMINI WA ELIMU UGHAIBUNI: AMERIKA vs ULAYA Na: ERNEST BONIFACE MAKULILO (MAKULILO, JR.) Watu wengi wamekuwa na ndoto za kupata elimu ya juu ughaibuni siku moja ili kubadilisha hali ya...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…