Ni shabiki wa kusoma riwaya, lakini nimekuwa mvivu siku hizi baada ya uandishi wa riwaya kufifia tofauti na zama za kina Willy Gamba. Juzi nimepata bahati ya kusoma riwaya inayoitwa Joka kuu...
Mara kadhaa nimejiuliza juu uhakika wa mitaala yetu hapa bongo, na hasa Kama unaotumika udsm. Coz migomoooooo..migomoooooo....siasiaaaaaa.. walimu wao nao kila cku itawaona kwenye screen za tv...
in tanzania unaweza ukaona people dea lenning from grade 1 to grade seven and from dea iz unaanza new lyf from form 1 to six and lets say umepoteza lets say miaka kumi na nne unasoma but ukiulizwa...
Uongozi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM), jana ulianza kusikiliza utetezi wa wanafunzi 40 kwa tuhuma za kuleta fujo na uchochezi uliopelekea mgomo chuoni hapo na kusababisha wanafunzi 13 na...
University Ranking by Academic Performance (URAP) Research Laboratory announced 2011 World University Ranking.
URAP - University Ranking by Academic Performance
Nani anaisimamia elimu ya Tanzania?
Kila kukicha nasikia mambo yanayonifanya niamini kuwa hatuna budi kujiuliza "Hivi ni nani haswa anayesimamia mwenendo mzima wa Elimu ya Tanzania, na kazi hii...
48 students in an economics class selected three subjects , ie Economics Development, Public Finance and Mathematics. Of these 35 students took Economic Development, 8 took Public Finance and 5...
Kutokana na kusahaulika kwa elimu ya awali haswa watoto waishio vijijini. Kutokana na umuhimu wa elimu ya awali katika mwendelezo wa elimu ya msingi na kujipanga kutengeneza jamii iliyoelimika kwa...
Baadhi ya wahadhiri(doctors na maprofesa) wa chuo kikuu cha Dodoma wanaishi na familia kwenye hoteli za kifahari mkoani Dodoma kwa kutumia pesa za mlipa kodi mnyonge wa kitanzania.Kwa muda wa...
The Open University of Tanzania (OUT) and a Chinese company, China Henan International, have signed a 3.592bn/- agreement for the construction of a ten-storey multi-purpose building at the...
wadau mnaofundisha geography vyuo vya ualimu naomba kama kuna mwongozo wowote
wa jinsi ya kufundisha geography pedagogy hasa topic 2 inayosema principles of teaching and
learning geography- sub...
ndugu zangu poleni na kazi na shule kwa wengine , nomba mwenye kitabu(pdf) cha huyo prof or anayejua kinapatika through internet basi anisaidie. na hata kama unavijua vingine vya huyo prof...
Nimekuwa nikijiuliza muda mrefu sana kwa nini vyuo vikuu vya Tanzania havina matawi yake ktk nchi za Africa Mashariki ingali huku Serikali ya Tanzania ikiwahimiza Watanzania kuchangamkia fursa za...
Katika hali isiyokua ya kawaida UDSM imepoteza power of self determination ilihali inaongozwa na magwiji walobobea katika fani mbali mbali za kitaaluma. Maamuzi yanayotolewa hayazingatii tena...
Wale wanachuo wanaanza kuhojiwa mmoja mmoja to determine what should be done with them. Mi najiuliza,Can you get someone to testify against them?
Hata yule mwanafuni aliyesema kwamba aliwaona...
Wakuu heshima Kwenu.
Naomba kwa anayejua kwa uhakika/aliyesomea mambo haya anipe ufafanuzi juu ya maswali yangu hapo chini.
1)Tuchukulie mfano kuwa,mwanamke ambaye ni Bisexual ametoka kufanya...
Wanajamvi, hii nimeipenda.
Sijui hapa kwetu itakuwa imekaaje maana upatikanaji wa data daima huwa hauendani na uhalisia wa mambo. Maana mtaani njaa inazidi maelezo lakini takwimu (za BoT na...