...wa kidato cha nne watatakiwa kufanya mtihani wa computer! Nimesikia sasa hivi (saa mbili usiku) taarifa ya habari Radio One.
My take:
Ukitilia maanani ni chini ya 10% ya Watanzania wenye...
Wadau! Nimeamua kwenda kulima... nimekata shauri kuwa mkulima lakini wa kisasa. Tafadhali naomba msaada wa yeyote mwenye vitabu vya ELIMU YA KILIMO anisaidie. Ikiwa kwenye soft copy itakuwa...
A military invention is an invention that was first created by a military.There are many inventions that were originally created by the military but are now used by civilians.
1. Aircraft...
Mambo ni vije wadau! Mi ni mefungua hii thread ili tutengeneze making scheme ya mtihani wa kidato cha nne 2011 kwasababu wanaJF ni Great Thinkers.Hivyo ukikumbuka swali lilete hapa jamvini ili 2...
Kuna tetesi kuwa shule ya sekondari inayoitwa Mwenge open academy imekimbiwa na waalimu wote, Hivi sasa wanafunzi wanahaha, hawajui hatma yao, hasa wale wa kidato cha tano. Wenyw habari zaidi...
Jamani hivi mtu kufanikiwa kielimu na kufika mbali ni lazima usome udsm maana naona wanafunzi wengi wanafikilia kusoma chuo hiki na pia mtu ni lazima usome a-level ili ufaulu uende udsm...
Waungwana katika pita pita yangu, nimekutana na hiki Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji University kilichoko Mbeya. I dont know much about it. Mweye details atupe. But naona hakijapata usajili...
pande zote za tz ukipokea cm ni swali kuhusu post za walimu wapya.jamani ukweli ni kwamba serikali imejipanga vyema kuwaburuza kwa kutumia ahadi batili hadi watakapo pitisha bajet nyingine.kuhusu...
Nawashukuru wana jf kwakuchangia vzr topic ya jana iliyohusu kwanini ccm waingilie elimu?. Leo siko mbali na mada hyo, ndg zangu hebu tutafakari pamoja toka Jk na M7 wazomewe UDSM, mteule wao mkuu...
Wakuu elimu yangu ni kidato cha nne,division (iii)ninania ya kusomea IT,kwa njia ya mtandao(on line)kutokana na nafasi yangu kuwa ndogo kuhudhuria darasani,je nichuo gani ninaweza kujiunga nacho...
Inasikitisha lakini ndo hali halisi inaojijenga hapo University of DSM. Mtindo unaotumika kukiongoza Chuo hiki sasa ni sawa na shule ya sekondari ambayo kufukuzwa na kuambiwa urudi na mzazi ndo...
Nawasalimu wanajamvi!
Naomba msaada wa yeyote aliye na link itakayoniwezesha kupata "Updated Infos" za:
i. Idadi ya madaktari Tanzania na uwiano wa wagonjwa kwa kila daktari
ii. Kama kuna...
Jamani natafuta mtaalaamu wa computer science ambaye anaweza kunifundisha
1.java na c++ programming na kutengeneza application zake
2.configuring cisco routers and switch
3.web...