Nimeshangazwa sana habari hii iliyopewa uzito wa juu na kukolezwa wino kwenye Gazeti la CCM (uhuru) leo..
Gazeti ili linadai lime wahoji wasomi hao, nanukuu "siri ya mgomo wa wanafunzi wa chuo...
Jaman me hata sielewi kuhusu haya matokeo ya kidato cha nne.Mana nasikia Wizarani yametoka lkn kwenye mtandao bado.Kama ni ivyo mbona vyombo vya habari havijatangaza kama Matokeo yametoka?
Mkuu wa mkoa wa Kigoma,amesema kila kiongozi mkoani humo kuwa na shamba la mfano.
My take:Tanzania nzima viongozi wote wakiwa na mashamba ya mfano,hii nchi itapiga hatua sana badala kila...
Wana Jamii wenzangu. Tumekuwa tukishuhudia migomo kila kukicha. Kuna wasomi wametafiti muda mrefu lakini politics zinafanya mambo ya msingi hayashughulikiwi.
Migomo imeanza toka University of...
Serikali ingefanya liwezekanalo kuurejesha mtihani wa kidato cha pili,maana watoto wa siku hizi wanamaliza f.4 hata kuandika insha kidogo hawawezi.Kwa kifupi wengi wanamaliza wakiwa vilaza zaidi...
Nimekuwa najitahidi sana kufuatilia habari hizi za wizi wa mitihani ya std vii,ni kweli kuna wanafunzi wamefutiwa matokeo yao na pia kuna taarifa kuwa watapata nafasi ya kurudia mitihani.
NAOMBA...
Ndugu zangu huu ni mtandao wa kuandika ukweli hata kama ukweli hautakuwa na ushabiki.
Kitendo cha kuna migomo kila siku kwenye vyuo vya Tanzania ni swala la kisikitisha na tatizo kubwa kwa mawazo...
Kuna kijana ana division II CBG,anaomba mwenye mapenz mema amsaidie kumlipia ada mil 1.5 kwa miaka 4.ktk degree ya UKUNGA (BSC.MIDWIFERY NURSING) MWENYE MAPENZ MEMA TAFADHALI!
Watakaofeli mwaka huu kurudia darasa
Kiwango cha ufaulu sasa ni alama 30
Serikali imetangaza rasmi kuurudisha mtihani wa kidato cha pili kwa shule zake na binafsi kwa lengo la kukabiliana na...
Kwa kweli hawa majamaa wana-raha kwelikweli,manake katika miezi mi4 ya semester 1,wenyewe wanasoma miezi mi2 tu.Miwili yote hekaheka za migomo...!nahisi Tanzania mzima wao ndio wananyimwa haki...
Ndicho chuo ambacho kinatarajiwa kutoa wataalamu wa fani ya madini nchini. Unaweza kutembelea tovuti yao HAPA Kwa miezi ya karibuni (kama siyo miaka) chuo kimejikuta kikiwa na matatizo mengi hasa...
Kutokana na vaga la fukuza fukuza linaloendele mpaka sasa katika chuo kikuu cha Dar es salam na Muhimbili limewafanya wanafunzi waishi maisha ya hofu na uoga , wengine wakiogopa hata kujipitisha...
Do you want to develop your Business Idea? Or, are you interested in developing your Business Plan for your Idea?
As a Partner Organization to International Labor Organization (ILO), Genesis...
Baada ya kuifuta kwa miaka kadhaa, Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Mafunzo na Ufundi imetangaza kuirejesha tena hadhi ya mtihani wa Kitaifa kwa kidato cha pili kwa shule zote za Sekondari za...