Somo hili linaendelea toka :- Software Development- Part 2
Installation
Install Daemon Tool Lite ambayo ulii-Downloadn toka Part 2
Anzisha Daemon Tool lite kwa kufuata taratibu zifuatazo...
Wadau naomba kujuzwa,inasemekana elimu ya msingi ada imefutwa lakini kumwandikisha mtoto darasa la kwanza bila kutoa elfu kumi hupewi nafasi,hivi hii ada ya kumwandikisha mtoto shule ni ya nini...
Somo hili linaendelea toka :- Software Development- Part 1
Vitu unavyohitaji katika somo hili ni :-
1:- Microsoft Visual Studio 2010 Express Edition
2:- Daemon Tools Lite
Microsoft Visual...
Ni muda mrefu sasa umepita tangu wahitimu wa ngazi mbalimbali katika fani ya elimu wahitimu masomo yao kwa mategemeo ya kupata ajira kwa ajili ya maisha yao ya kila siku, lakini cha kushangaza...
Hatimaye uongozi wa serikali ya wanafunzi ya chuo kikuu cha Dar es salaam wameuongoza mgomo usio na kikomo mpaka wale wenzao waliofukuzwa chuo warejeshwe mapema na kuruhusiwa kuendelea na masomo...
Salamu wadau ....
Wengi wetu tumekua tukitumia software mbalimbali katika maisha yetu...nna uhakika baadhi mtakuwa mmejiuliza zinafanyaje kazi na zinatengenezwa vipi ...
Hii itakuwa ni fursa...
Habari,
Nakumbuka sana wadada wengi niliosoma nao shule ya msingi na hawakufanikiwa kuchaguliwa na wengi wana watoto wameolewa wengine hawana mbele wala nyuma. Walikuwa na akili za wastani na...
Wan JF kama kuna waliohitimu taasisi ya uhasibu kwa mwaka wa masomo June 2008/2009 kama mimi. Na ambao hawajapata kazi kama mm. Najua wale waliokwisha pata kazi hawataguswa na hilin jambo. vipi...
ABOUT ACCA
WHO WE AREACCA (the Association of Chartered Certified Accountants) is the global body for professional accountants. We aim to offer business-relevant, first-choice qualifications to...
Happy New Year to all
May 2012 bring with it good tidings.
It was shared with me that Equity Bank is planning on giving scholarships to class 8 graduands who attained a minimum of 350...
Salama ndugu zangu,
mwenzenu naandika thread hii nikiwa na ghadhabu juu ya hii serikali yetu inayotunyanyasa waalimu, nina madai mengi ninayodai lakini nimeishia kusikia ahadi zao kwenye vyombo...
Cwt ingejaribu kujitanua kwa wadau wake kwa kujiunga na mitandao ya kijamii.
Faida ni kuwawezesha walimu vijana ambao wengi wao wamejiunga na mitandao hii kuweza kupata in depth details za...
Bodi ya mikopo,napenda kuwapongeza kwa kaz nzur ya kuwasaidia wanafunz wa elimu ya juu kwa kuwapa mikopo ambayo kwa namna 1 ama nyingne inawasaidia wanafunz kugharamia baadh ya gharama mbalimbali...
Ukitaka kujua haya jiulize swali hili.Kwanini waalimu wengi mara wapandapo vyeo na kua maafisa ndio huwa mstari wa mbele kunyanyasa wenzao?baada ya muda mfupi tu anasahau kuwa anapaswa kuwahudumia...
Region Ranking
University Name
World Ranking
Article
Citation
Total Document
JIT
JCIT
Collobration
Total
1
University of Cape Town
256
69.37
66.57
33.28
56.74
47.46
52.14
325.56
2...
Je, uliwahi kusikia watu (wazazi na hata mara nyingine wanafunzi) wakiwa na majadiliano na hata wakati mwingine mabishano makubwa kuhusu kuwa shule fulani ni nzuri kuliko shule fulani?
Au ukiwa...
Published On: Sat, Jan 7th, 2012
Tanzania | Published On: Sat, Jan 7th, 2012
Students busy with examination
Parents and guardians who are keen to enroll their children in secondary schools...
Wadau wa elimu popote mlipo nipo katika mchakato wa kutafuta shule kwajili ya kidato cha 5 na cha 6 kwa mwaka 2012,kutokana ufinyu wa fedha ninatafuta shule yenye gharama nafuu popote pale katika...