Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

There are two examinations rooms A and B. If 10 students are sent from A to B, then the number of students in each room is the same. If 20 candidates are sent from B to A, then the number of...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nawashukuru sana wachangiaji wa mada tofauti mlizochangia. Ninamatumaini makubwa na imani kubwa na nyinyi, kutokana na uwezo mkubwa wa utambuzi wa mambo.leo katika jamvi letu la jukwaa la taaluma...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wengi waanguka mtihani wa NBAA MATOKEO ya mtihani wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Hesabu (NBAA) uliofanyika Novemba mwaka huu, yameidhinishwa na kuonesha kuwa idadi kubwa ya watahiniwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Huko mbinga walimu waitwa makanjanja na Mh. capten John komba, Jamani wana jf nini maana ya makanjanja na je hii ni sahihi.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakati chuo kikuu cha waisla kinaanzishwa watu wengi hawakuwa na matumaini kuwa chuo hicho kingeweza kupata uongozi makini ambao ungepelekea wanachuo kusoma na kuhitimu masomo yao.hii ni kutokana...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Inasikitisha idadi kubwa ya wasomi ama wahitimu wa viwango mbalimbali vya elimu wamezagaa mitaani na kuwa ombaomba.Hali hii inatokana na serikali kushindwa kuwaajiri.Tatizo ninini? jibu ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Limekuwa ni jambo la makusudi na la aibu kwa waajiri nchini kukiuka kwa makusudi sheria na haki za wafanyakazi nchini. zipo taasisisi nyingi na hasa za binafsi bila kujali utu na miongozo ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba niulize kuna uwezakano wa kuhama chuo kama mtu ulikuwa unasomea nje ya Tanzania unaweza kurudi bongo ukamalizia course yako kwa level ya bachelor degree..
0 Reactions
4 Replies
1K Views
jamani mimi sielewi hii elimu ya chuo hiki........inayotoa maana naona wanafunzi wake wengi wanasoma tution kama wanafunzi wa sekondari mitaani halafu wanafanya mitihani basi hivi si kama...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Source:Mwenyekiti wa wamiliki wa Shule binafsi za sekondari,alitoa taarifa hiyo wakati akichangia mada kwenye tuongee asubuhi Star Tv,alieleza kwamba mwanafunzi wa sekondari wa bweni(Tosamaganga)...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvini! Nauliza tu jamani, nimemaliza Diploma - Business Administration- CBE pale mwaka 2011, sasa nataka mwakani nijoin chuo kwa ajili ya diploma ila nataka nijoin UDSM au IFM...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
jamani mi nina cheti cha diploma ya mambo ya kilimo tena kizuri tu (distintion) ninatamani kwenda kusoma nje ya nchi naomba msaada.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam,
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Iwapo una elimu ya sekondari au chuo, jiunge na MUST COLLEGE, iliyopo Ubungo Plaza Dar es Salaam. Chuo kinafundisha masomo ya GIS,GPS,Mobile mapping na Satellite Image applications kwa mwaka 1...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hii Nimeitoa ktk JayDee Blogspot kama ilivyo. Mnao-Qualify kazi kwenu kuomba. Ndugu zangu watanzania, chuo cha Westminster kilichopo katikati ya jiji la london, UK, kila mwaka kinatoa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Inasemekana wanafunzi kumi na tano(15) wamesimamishwa masomo mpaka pale utawala wa chuo hicho utakapotoa maamuzi. Wanafunzi walisalia wametakiwa kuripoti chuoni hapo siku ya tar.02...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wanafunzi waliosoma Mzumbe sekondari kati ya mwaka 1995-2002 kuna misamiati maarufu iliyokuwa ikitumika kumaanisha vitu mbalimbali kama ifuatavyo: Nyali=Wali, Ngama=Ugali, Mongwe=Kuishiwa...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Wakuu nimekuwa nikifuatilia migomo ya watumishi mbalimbali hapa nchini,sasa naomba kuuliza wakati waalimu wa shule ya msingi,sekondari wanagoma mbona waalimu wa vyuo hawatoi support kwa walimu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za mda huu watanzania wenzangu na poleni sana kwa majukumu ya kulitumikia taifa.nina uhakika wengi mnamawazo makubwa ktk kusheherekea mwaka mpya maana baada ya sikukuu basi ni kuhakikisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nisaidieni waungwana, nina D moja tuu ya form iv, na nimemaliza mwaka elfu mbili na nne, nataka nirisit masomo matano, jaman ntaweza kuyahimili kweli wkt nafanya na kazi??
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…