Five men crash-land their airplane on a deserted island in the South Pacific. On their first day they gather as many coconuts as they can find into one big pile. They decide that, since it is...
Nimesikitishwa sana na kauli ya Naibu Wazili wa Elimu kuwa wanafunzi watakaobainika kuwa hawajui kusoma na kuandika na wamefaulu kwenda sekondari, watarudishwa na kisha walimu wa shule walizotoka...
John Heche
TAMKO KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU KUFUKUZWA .
UTANGULIZI:
Kwa miaka ya hivi karibuni Vyuo mbalimbali vimekua na tabia ya kuwafukuza ama...
Kwa anaye fahamu chuo kinachotoa Masters in Project Management hapa Dar... Na hasa iwe ni evening progromme. Asanteni kwa Msaada wenu wadau. Tuwasilisne hapahapa!!
Maoni ya katuni
Jana Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, ilitangaza matokeo ya mtihani wa taifa wa darasa la saba, yakionyesha kuwa kiwango cha ufaulu kwa mwaka huu...
Baadhi ya madaktari na Manesi katika hospitali ya Mt .Meru Arusha wamethibitika kufanya kile ambacho watu wengi wamekuwa wakikilalamikia licha ya wao kuendelea kukana uovu huo. Imedhihirika kwamba...
Wadau habarin za w/end,naomba kujuzwa,kwa anayejua mitihan ya toefl hapa nchini tanzania inafanyika wapi na wapi? Ni mikoa gan wana centers zao? Michango yenu tafadhali,
Kuna tetesi kuwa wanafunzi zaidi katika chuo cha afya na sayansi shirikishi watafukuzwa na wengine kusimamishwa masomo mbali na wale 66 kutokana na kuhusika kwa namna moja au nyingine na mgomo...
Tape video za wanafunzi wa chuo kikuu cha muhimbili walioshiliki kwenye mgomo wa tar 8 na 10 december na kuzuia research day na mahafari ,mkuu wa chuo cha mkwawa amewatangazia wanafunzi wake...
Nimekutana na hii story kwenye Tanzania Daima, nimebaki nashangaa. Ni lini serikali yetu ilifanya research na ku-come with this finding. Soma mwenyewe.
Mkuchika akataza simu shuleni
na...
The Goverment of Tanzania should stop micro manage every business in the country instead they should focus on their responsibily which is to monitor quality of all education Institutions in...
Selikar ya Tz bwana! Inategemea miujiza katika kuboresha elimu. .
Baada ya matokeo ya la saba serikal yatoa tamko kwamb mwanafunz aliye fauru na hajui kusoma na kuandika hasripot katka shule...
SIKU moja baada ya Chuo Kikuu cha Dares Salaam kuwafukuza wanafunzi 43 , Uongozi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas), umewasimamisha masomo wanafunzi 66 kwa tuhuma za...
Habari wana JF...
Ninatafuta Mwalimu wa kike au wa kiume wa kunifunza kusema kiarabu cha kawaida (sio cha dini, sio cha biashara wala academic).
Mi mwenyewe ni mtu napenda sana kujichanganya, niko...
Matokeo ya darasa la saba yametangazwa na kuonesha wanafunzi 67567 wemefaulu sawa na asilimia 58.28% kati ya wanafunzi zaid ya laki tisa waliofanya mtiani huo mwaka huu.
Hivyo kufanya ufaulu...
Ni muda mfupi ulio pita,wana UDSM tukiwa tunafurahia pesa kutolewa maarufu kama boom,chuo kimetoa maamuzi ya kuwafukuza chuo moja kwa moja wanafunzi wote waliohusika na kuhamasisha mgomo.
Ni...
Kumekuwa na huu mkanganyiko ,mimi nahisi ni halali kwani ile ni sadaka za DINI HUSIKA hivo haitegemewi zisaidie mfano tuseme mbudha,rastaman e.t. kwani nao wanasadaka zao NA WANARUHUSIWA KUJENGA...
15 DECEMBER 2011
Na Salim Nyomolelo
*Prof. Mukandala atoa onyo kwa wengine waliobaki
CHUO Kikuu cha Dar es Salaam Kampasi ya Mlimani, kimefukuza na kuwafutia udahili wanafunzi 43 kwa kosa la...
-Habari ya sasahivi wana Jf na watanzania.Poleni na hongereni kwa kazi za kujenga taifa. Ni matumaini yangu wengi wetu kama siyo wachache mmesikia kuhusu kufukuzwa chuo kwa wanachuo takribani 51...
Wakati wa kuadhimisha Miaka 50 ya uhuru wa Tanzania Bara Ubalozi wetu hapa nchini Uingereza wakishirikiana na Chuo kikuu cha mji Coventry wanapenda kuwatangazia wadau wote wa elimu kuwepo kwa...