inashangaza sana kuona watu waliosomeshwa na serekali wanasema uongo. jambo hili limetokea kwa mkurugenzi wa loans body,baada ya kuutangazia uma kwamba wanafunzi wote walochaguliwa ktk raund ya...
Mh kawambwa, Waziri Ghasia na mkulo wizara zenu zinatuhumiwa kwakuchelewesha ama kutojali kuwalipa walimu wa chuo kikuu kilichokikubwa kuliko vyote huko dodoma. walimu hao walishapandishwa muda...
An honorary degree[1] or a degree honoris causa (Latin: "for the sake of the honour") is an academic degree for which a university (or other degree-awarding institution) has waived the usual...
C k2 kpya sana miongon mwenu wana jf lakini me napata mashaka kidogo katka hili suala la ulpaji wa ada na michango mingine katka baadh ya vyuo hapa tz interms of foreign currencies. Hli...
When the 14 students were first registered in dar, it was under the auspices of london university as had makerere been for some years. So was the royal college (incorporating the gandhi memorial...
Yuko rafiki yangu amenitumia swali hili hapa chini; nimeliangalia naona kama halijakaa vizuri kulingana na uelewa wangu wa hesabu. Wewe unasemaje?
Any answers to this question: ( You saw a shirt...
..Katika hali ya kuonekana kana kwamba ni kutumia vyuo vya elimu ya juu kupata umaarufu Jakaya Kikwete ameendelea kujinyakulia Phd kama nyanya sokoni...Kwa wasomi na watu makini wanaweza tambua...
Kwanii serikali hii sasa hivi inasema waombaji wa sifa linganishi hawawezi kupata mkopo kwa sababu ambazo hazina miguuu wala mikono ni mkia tu ambao siku zote nyuma unafuata kichwa kiendako, bodi...
b) Critically trace how the government of Tanzania has bee dealing with budget deficit financing overtime (note less that ten years) with consideration to which among three types of budget...
Habari zenu wataalamu wa Jf.
Nimeombwa ushauri jamaa yangu.KUWA JAMAA YEYE KAMALIZA BARCHELOR YAKE YA bcom-finance mwaka huu na anataka kuendelea na kusoma mastaz so kanifuata tushauliane Asome...
Ndugu zangu ni wpi serikali inatupeleka hasa sisi watoto wa mkulima wa kilimo cha kujikim?
kuna uhalli wowote kwa mwanafunz yeyote aliyeko chuo kikuun tena aliyechaguliwa na tcu
leo hii mwanafunz...
Mwezi uliopita baadhi ya wanafunzi waliokosa mikopo waliandamana,serikali ikatoa mikopo kwa mara ya pili,lakini wapo wanafunzi wengi wenye sifa na wameachwa serikali ikidai bajeti haitoshi,na...
Kuna maandamano yanafanyika hapa main cumpus-udsm,watu wana mabango yanayoonyesha kunyimwa mikopo wanaelekea nkuruma hall ambapo kikwete na museven wapo.ffu wametanda kila kona kuimarisha ulinzi.
Hivi hii bodi ya mikopo ambayo hudai imeishiwa fedha na inauwezo mdogo wa kifedha kuwakopesha wanavyuo pindi waanzapo vyuo, hivi huweza kuwalipia wanavyuo wa mwaka wa pili ambao walikosa mkopo...
Nahitaji kujiunga na chuo cha ubaharia lakini cjui wapi pakua nzia mwenye ulewa na hili anwani za chuo na mahali kilipo. Unaweza kunisms namba zangu ni 0789797889 au 0755433110