Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

wana jf naombeni mwongozo kupitia hii link http;//pdfadvisor.com/pdf/selection-of-undergraduate-university-students-2011-2012-in-tanzania.html&lt;br /&gt;<br /> Nawasilisha
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Habari zenu wana jamvi. Naomba kujua kama usajili huo umeshafanyika na matokeo kutangazwa. Ikiwa jibu ni ndiyo, Je, nawezaje kuipata habari hiyo?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tulipata taarifa kuwa mlitimuliwa chuoni mlipojaribu kudai haki zenu ambazo ni za muhimu kwa msomi yeyote,ila mlikuwa hamjafanya mitihani,vip mtafanya lini? Au ndo maswala ya kuunganisha semsta?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani wadau naomba msaada hapa Loan Board tangazo lao waliandika kuwa watatoa mikopo hata kwa wanafunzi wa nje ya nchi ili mradi uwe na offer letter leo nimeenda kufuatilia wale mareceptonist wao...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Watoto wa wakulima Tanzania wamekua wakighilibiwa haki zao za msingi katika chuo kikuu maarufu nchini cha SUA. Moja ya haki hizo ni AFYA.Wanafunzi hua wanalipishwa shiling laki moja kwa ajil ya...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Tcu
Inasemekana kesho TCU watatoa tamko la kuomba radhi kwa ucheleweshwaji tena wa matokeo!..mpaka sasa haijajulikana rasmi ni lini watakamilisha matokea yote! ;.....source;leaked gov.info
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu? Naombeni msaada wenu mnijulishe na/ au kunipatia contacts za vyuo vinavyotoa elimu ya certificates katika masuala ya madawa ya binadamu. Kuna kijana anatafuta ili akasome aweze...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
kwanza naomba mniwie radhi, sikupenda kuandika hili ila imenilazimu! Kuna mwana jf mmoja kaweka link ya selection za tcu za mwaka jana anadai za mwaka huu! Huu ni ujinga kabisa kama huna cha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wana jf, habari, naomba kuhabarishwa aliye na taarifa ya matokeo ya vyuo vya ualimu iliyofanywa mtihani wake may 2001 naomba kuwakirisha.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
wapendwa, mungu awape life zaidi. Jamani mm nataka kuanzisha NGO yangu, dhidi ya haki za wanyama(animal welfare) baada ya kumaliza utafiti wangu. Nimeisha andika proposal na contact za funders...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana JF naomba mnijulishe wanafunzi wa elimu ya juu wameongezewa Tsh ngapi? Kuna tetesi eti ni 2000 au 2500.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna taarifa nimepata, kwamba TCU wamekaa na wawakilishi wa vyuo mbalimbali, hivyo wamekubaliana majibu kutoa wiki ijayo, sababu za kufanya hivyo bado hazijatambulika. So ndugu vijana endeleeni...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Wana JF naomba mnijuze hii bodi ya mikopo wamewaongezea hawa wanavyuo Tsh ngapi?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
wadau tufahamishane kwa lugha yetu(kiswahili) ingawa swali limeulizwa kwa kingereza.nauliza swali hilo kwa kuwa sasa hivi inayobamba ktk media za kimataifa ni hacker hacker hacker .Tuelimishanae...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Serikali yetu inajitahidi kuboresha elimu lakini bado haijaweza kumudu mahitaji ya watanzania ambao wanahitaji kusoma hivyo haina budi kuweka mipango ya baadae ya kimaendeleo kabla mambo hajakuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wana jamii naomba kufahamishwa ni wapi naweza kusoma course ya computerized assisted audit technique kwa kifupi C.A.A.T
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TCU matokeo ni mwezi wa 8,sasa hatujui ni tar ngapi maana tar 4 ndo hii!hahahaaaaa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
The human body is capable of many strange and incredible things. The infographic below, which comes courtesy of OnlineNursingSchools.com, shows just how weird -- and ridiculously awesome -- the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Swali hili lina lengo la kujenga hoja fulani ambayo nataka izame kwa baadhi ya watu. Sina mashaka na uwezo au elimu ya Prof. Mikidadi kwani ni mwanazuoni aliyebobea katika fani zake na ni miongoni...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…