Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Natumaini wote tumesikia kazi ambayo Profesa Maboko wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam amepewa na timu yake ya kufanya uchuguzi wa kina kuhusu mfumo mzima wa utoaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Mheshimiwa waziri wa afrika mashariki kafungua kongamano Chuo cha Ushirika Moshi 21 may 20011. ''KWANINI TANZANIA NI MASKINI BAADA YA MIAKA 50 YA UHURU'' alianza kwa kutoa historia ya Tanganyika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za siku!!Napenda kuwaarifu wanafunzi wote waliowahi kusoma China kuanzia Bachelor na Kuendelea,kuna Association ipo katika Mchakato wa kuanziashwa.Vikao vimeshaanza na tutakutana tena Pale...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
kwa wale wanaopita pita mjini dodoma leo ni masimulizi ya jinsi FEDHA na UBABE wa siasa umeshindwa kufanya kazi katika jamii ya wasomi...... pamoja na matumizi makubwa ya rasilimali yaliyotumika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
uadilifu, kutokujilimbikizia mali, umoja, usawa na uwajibikaji ndizo sifa za viongozi wa taifa. viongozi ambao wanavunja hizi sifa ndio chanzo cha umaskini wa tanzania tangu miaka 50 ya uhuru. i...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaUDOMASA msishangae Prof Kikula kutoa propaganda kwenye vyombo vya habari. Hiyo ndiyo fani yake nyingine kwani yeye ni mfanyakazi wa TISS. Mdogo wake naye yuko TISS. Anaitwa Magid Kikula na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
wana jf ni vyema nikapata mawazo yenu juu ya mambo mawili haya kuhusu elimu yetu hapa tz je ni mahitaji au ni matakwa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Manajamii naomba msaada kwa yeyote atakae weza kunisaidia kupata vitabu vya riwaya kama vile, tutarudi na roho zetu, kikosi cha kisasi, na vinginevyo especially vya Willy Gamba
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau vip!Tuongeze elimu washikaji!ili nchi yetu iwe na wasomi wengi na kuikomboa kwenye dimbwi la Umasiki hasa ikiwa na wasomi wengi!sina mengi kama mhusika jivinjari na kozi hizo! NEWZEALAND...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina sikia watu wanapata mashirika kusaidia kujiendeleza kielimu,mimi naitaji sana lakini naona kama ndoto tu,nisaidieni nipate kusoma zaidi kwani bodi ya mikopo aitoi kwa shahada ya pili(master)
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Arusha School marks 75th birthday Arusha School marks its 75th year of existence this week. The institution is the country's first ever English Medium school which received pioneer...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Muuzaji wa kiwanja anakueleza kuwa ni "heka" 1 (naamini anamaanisha eka (acre)1. Ukifika eneo lenyewe ni kama mita za mraba 1000 tu wakati eka ni takriban mita za mraba 4000. Hali kama hii...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
AMESEMA INASHANGAZA MIAKA HAMSINI YA UHURU LAKINI BADO TU MASKINI WAKUTUPWA TUNAAGIZA TISHU NA TOOTHPICK KUTOKA NJE HATA PENCELI, TOILET PAPER. AKASEMA TANZANIA NA MASKINI KUTOKANA NA 1...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
NAKUMBUKA WAKATI NAANZA DARASA LA KWANZA MNAMO MWAKA 1993 ADA YA SHULE ILIKUWA NI SHILINGI 200/- KWA SHULE ZA MISINGI. NAKUMBUKA ILIKUWA MZAZI AKISHATOA HIYO MIA MBILI BASI ILIKUWA MPAKA MWAKA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
21/5/01 chuoni MUCCoBS wanafunzi waandaa kongamano kwann tz bado maskin miaka 50 ya uhuru? washiriki hao watachangia mada pamoja na M.MPOTO kwa njia ya nyimbo. vijana 2jitokeze
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana JF, Napata shida kuhusu maneno "nyimbo" na "wimbo". Nilifundishwa kuwa "wimbo" ni umoja na "nyimbo" ni wingi. Sasa kila siku kwenye redio zetu ".. Nyimbo moja ya banana zoro..." Nadhani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvi... kwa yeyote aliye katika jiji la dodoma kwa kipindi cha wiki takribani moja atakuwa anashangaa kuona magari yakirandaranda huku na kule yakipiga mziki mzito PA..... baada ya muda...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
ebu bofya uone mchakato mzima.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuanzia enzi za Shetani & No Mbungi (early 1980s ) adi enzi za akina marehemu Puzza, Parasite n.k (mid1990s) bila kuwasau waliokuwa watani wetu wa jadii Azania, Jitegemee na Kinondonii, kuna ishu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
please kwa mwenye kujua maana ya grievances na procedure zake pahala pa kzi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…