Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Waziri Mkuchika amewataka waalimu waliolipwa fedha za serikali kisha wakatoweka vituoni kuzirejesha. Jambo hili ni gumu kwa serikali kulifuatilia, sawa na mikopo kwa wanavyuo walio kwenye sekta...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanafunzi wa UDOM kitivo cha Teknolojia ya mawasiliano na Elimu Angavu(College of Informatics&Virtual Education) tunaendelea na mgomo wa kutoingia darasani ili kushinikiza Utawala kuwarudisha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni ya kidato cha Nne,matokeo yametoka, Jamani njoo muone,mwenzenu nimeumbuka, Busara ionekane,tushone palotatuka, Matokeo yametoka,wakubwa wameumbuka. Sifuri zimeniganda,ya siri yamefichuka...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Wakuu wana JF, Hi. Tafadhali naomba msaada wenu wa mtu anayeifahamu primary school nzuri ya boarding kwa ajili ya watoto wa kike, na inazingatia maadili ya kuwalea watoto vema basi naomba...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Wakuu, Someni Makala hii mpate kuielewa vyema dawa anayoitoa Babu yetu wa kule Samunge Loliondo. DAWA YA BABU WA LOLIONDO INATIBU LAKINI SIO NGENI – UTAFITI Na Exaud G. Malya Tangu...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Kuna uhuni fulani katika website ya necta. Nilipofungua jana saa za jioni nikakutana na message ifuatayo: THE NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA...
0 Reactions
1 Replies
25K Views
Nini maana ya ushawishi na naomba kuelezwa mbinu zitumikazo katika ushawishi, athari zake katika jamii.
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Mambo vp wadau, Fungueni link hiii ya scholarship toka ubalozi wa Japan Tanzania. Please fanya msaada na kuwaeleza Watz wenzetu wasiyokuwa na access ya JF. Peace...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Doctor Spora kisanga,Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma,tunakushutumu kwa kutosahihisha tests zetu za Research na kisha kutuwekea zero.saa hii tunalalamika unaanza kukusanya upya majina ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana-JF. Mimi nina HP Pavilion dv6645el Entertainment Notebook, sound imepotea na nikiangalia driver manager kuna matatizo haya yafuatayo: Standard Dual channel PCIIDE Controller is not...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani matokeo ya form six yanatoka lini? presha zitatuua.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Madaktari na Madaktari Bingwa wanaomaliza mafunzo yao katika chuo cha sayansi ya tiba Muhimbili hawapatiwi vyeti vyao wakati wa Graduation tofauti na vyuo vingine vya Bugando na KCMC. Kwa sasa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari za asubuhi. Nafahamu ya kwamba leo ndo siku ambayo TCU wataanza kufanya mkutano pale U/Plaza ila sijajua utaanza saa ngapi na ni hadi saa ngapi? Mwenye kujua tafadhali anijuze nataka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wanaopenda kujiendeleza kielimu wanaweza kupata taarifa za scholarships kutoka Scholarships for Tanzanians Bonne Chance!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
katika katiba ya jumhuri ya muungano ya tanzani kila mtu ana haki ya kulinda mali za jamii .viongozi wa serekali ya wanafunzi wamevunja katiba.wametumia pesa vibaya .wafuatao ni mafisadi 1saimoni...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
kweli DUNIANI hakuna haki ndugu zangu"viongozi wetu ni kati ya makundi ya kwanza kwenda motoni,i swear my MAPIPO;tunanyanyaswa sana,wengine wanasimamishwa masomo eti kisa kudahi haki...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
SIO siri kuwa hivi sasa, taaluma ya ualimu imepoteza hadhi katika jamii. Ile fahari ya kujiita ama kuitwa mwalimu kama ilivyokuwa zamani, sasa imepotea. Vijana wengi wanaukimbia ualimu kwa...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Sharing is caring...! kwa wale wenzangu na mimi pitia hiyo site kisha mdogo mdogo jifunze accounting for non accountant.....kiliki hia Senki yu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jf habari za pasaka? leo nina shida ya kujua Details za Master of information studies,naomba mtu aliye/anayesoma hii kozi anipe details za hii kozi, Je inahusu nini hasa, ina related na kozi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tamisemi Wamulike ubabaishaji mkubwa unaofanywa na watendaji idara ya elimu upande wa Sekondari wilayani Urambo, Walimu wa sekondari Urambo hawapandishwi madaraja, toka walioajiriwa mwaka 2004...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…