Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jaman hivi kuna taratibu gani za kufuata ili kupata scolarship kwenda kusoma nje (university) na niwakati gani taratibu hizo zinapaswa kushughulikiwa? Naombeni sana msaada wenu jaman coz nahtaji...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
baada ya kutangazwa maandamano ya kupinga mswada wa katiba baadhi ya wana ccm wamesema watasapoti maandano kwa kuwa wao sio wajinga bali wapo kwa kupata chochote wakiwa wanaongea na baadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wizara ya Elimu na mafunzo ya Ufundi imetangaza mafunzo ya vijana waliohitimu kidato cha sita kujiunga na masomo ya awali (Pre-entry) kwa ajili ya kuwaandaa kusomea stashahada ya ualimu. Mafunzo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naiomba Wizara ya Elimu ifuatilie hizi shule za binafsi; kwa kweli ni unyonyaji mtupu. Hebu fikirieni jamani mtoto wa shule ya msingi unamlipia 2,800,000/= kwa mwaka. Hapo bado kila term ununue...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
SOURCE BBC Vyuo Vikuu Afrika havitambuliwi Chuo kikuu cha Khartoum...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ebu pitia hIki kinachoitwa “vision”, mission” na sehemu ya katiba yetu. MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATINAL TRAINING VISION To have a Tanzanian who is well educated, knowledgeable, skilled...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika miaka yangu ya kusomea degree ya biashara nimekutana na waadhiri wanaojisifia kutunga mitihani migumu, na huwa wanahakikisha wanafunzi wengi wanafeli, je ubora wa elimu ni kufelisha wengi?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
hivi kufelisha wanafunzi ndio kipimo cha elimu bora? inashangaza vyuo vya africa ndio vinavyoongoza kwa kufelisha wanafunzi lakini kwenye rank za vyuo bora duniani vipo mbali sana.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
The UK Prime minister have criticized Oxford saying that only one black person went to Oxford last year. He said: “I saw figures the other day that showed that only one black person went to Oxford...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ebu pitia hki kinachoitwa “vision”, mission” na sehemu ya katiba yetu. MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATINAL TRAINING VISION To have a Tanzanian who is well educated, knowledgeable, skilled...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana jf naomba 2shauriane. Hivi ukiwa Mining engineer unaweza kuajiliwa sehem gani nyingine tofauti na mgodini?. Maana kuna mdogo wangu alihtmu f6 mwaka jana(PCM, matokeo mazuri ila...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Aisee dogo, sisi tunasema kwa nini JK aioni ovu ya Mlacha huko UDOM !!! Kwanza huyo Mlacha imewenekana kwa yeye na JK wemeoa nyumba moja kwa hivyo jK anamfunika uchafu wake which will cost him...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Alie kuwa waziri wa mambo ya n"je wa Marekani Bi Condoliza mara baada ya kumaliza muda wao wa kuiongoza Marekani amerudi CHUONI NA ANACHAPA PINDI KAMA KAWAIDA. cha kujiuliza wasomi wetu walio...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu? Tukiwa katika shughuli za kiofisi wilayani Namtumbo katika kijiji cha Kilimasera, tulikutana na watoto wawili waliohitimu shule ya msingi Kilimasera mwaka 2010! Watoto hawa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana jf, hebu tushauriane. Hivi ukiwa Mining engineer tofauti na mgodini kunasehem gani tena unaweza kuajiliwa? Coz kuna mdogo wangu amehtm f6 mwaka jana(PCM, matokeo mazuri ila...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana jf, hebu tushauriane. Hivi ukiwa Mining engineer tofauti na mgodini kunasehem gani tena unaweza kuajiliwa? Coz kuna mdogo wangu amehtm f6 mwaka jana(PCM, matokeo mazuri ila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nikatika uchaguzi wa kumchagua raisi wa chuo cha ruaha hapa iringa kuna wagombea watatu lakini wana onyesha ushindani ni wagombea wawili huku mmjoa akiwa nikatibu wa ccm na mwingine alikuwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanajamii mnisaidie msaada wa kupata scholarship Nimebahatika kupata offer ya adimission kutoka loughborough University ipo UK. na nimeenda TCU kuthibitisha kama chuo hiki kinatambulika kimataifa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi, Ni aibu kubwa sana kwa Taifa hili matokeo ya wanafunzi wanaosomea Clearing and Forwarding (FULL TIME student) yametoka wiki hii na hali ni mbaya sana wanafunzi waliofanya mtihani ni...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
SALAM kwa wakubwa na hi kw vijana wenzangu,me ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho BA(economics, public administration na political science), ninamalengo ya kuungunisha kusoma master, ila tatizo langu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…