Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Serikali izuie midahalo ya siasa shuleni, vyuoni' TAASISI ya Utawala Bora na Maendeleo Tanzania (CEGODETA) imeishauri Serikali kupiga marufuku midahalo inayochangia kukosekana nidhamu na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tanzania's Ministry of Education and Vocational Training dropped a bombshell last week when it announced its plan to conduct a witch hunt against university lecturers, accusing them of "talking...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nataka kwenda kuongeza buku la media production BA (Hons)! Walio naujuzi mnielekeze process nzima! nimepata shule 1 inatoa BA ya media production kwa mwaka 1. sasa ada ndio mauti EURO 9,100 eti...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
The trouble with the world is that the stupid are so confident while the intelligent are full of doubt. - Bertrand Russell
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba mnitajie centre gani nzuri ya cpa (t) review iliyopo mwanza vile vile mwenye location ya centre hiyo naomba anitajie
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wakuu heshima mbele!mimi ninatumia sage pastel accounting package!ninafanya reconcilliation kati ya Subsidiary account na General ledger Account!sasa GL balance ipo juu than subsidiary!it means...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
I am still opening a certain book and I came across the following sentence, to quote " THERE IS NO ANY WISE MAN WHO EVER WISHED TO BE YOUNGER." Please my fiends brothers and sisters at Jamii...
0 Reactions
1 Replies
992 Views
hellow wadau! Hivi et mtu akitaka kusoma masterz anaweza kuomba mkopo kwa HELSB? Inanichanganya sana akili! Na kama ni ndio, je, ni qualifications gani hasa wanazoangalia kutoa mkopo kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana JF, nimekuwa nikijiuliza mara nyingi hivi fools' day inayosherehekewa leo maana yake haswa nini? Ila kikubwa zaidi inasherehekewa na watu gani? Mara nyingi huwa sikukuu yoyote inasherehekewa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mtoto sara ana karatasi mraba yenye urefu na upana wa 10cm by 10cm.Eneo la hii karatasi ni 100cm^2.Msaidie kwa kutumia karatasi hiyo hiyo aunde eneo la mraba la 50cm^2.
0 Reactions
4 Replies
958 Views
tafadhalini wandugu naomba mwenye kujua ilipo shule nzuri ya mchepuo wa sayansi.nina mjomba wangu ndio mwenye uhitaji.ada iwe ya jamaa isiwe ya kifisadi tafadhalini kwani uchumi wenyewe sio mzuri...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni takribani miezi minne sasa tangu mahafari ya kwanza ya chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) ifanyike na kuhudhuriwa na mkuu wa nchi ambaye pia alitunukisha Shahada ya uzamivu. Lakini inasikitisha kuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale wenzangu na mimi tuliomaliza six mwaka huu(2011) na unajiona unataka na unafaa kuomba mkopo, ni uwanja wako sasa. unaweza kuaaply hata kabla ya matokeo lakini angalia pia isije kula...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jamani waungwana sorry 4 the heading naomba yeyote mwenye phone no za iwawa sec anisaidie kwani nimekwama.kwani kuna dogo amepostiwa huko then sijui itakuaje coz sijapata joining instruction ya hko
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu tusaidiane links za scholarships. Mimi naihitaji scholarship ya kufanya Masters maswala ya Afya. Vyuo viwili vimeshanikubali.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
mimi ni mwanafunz wa mwaka wa kwnza katika chuo cha IFM hapa jijin dar. Wakati wa kuingia chuo sikuweza kupata mkopo kwa kuchelewa kurudisha fomu husika. Je,nitakapoingia mwaka wa pili nikaomba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Fossils of Enormous Dinosaur Found Scientists have identified a new dinosaur from fossils dug up in China and nicknamed it T-rex's cousin. The gigantic creature roamed...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi n kijana nliyemaliza fm 6 mwaka huu mchepuo wa HKL.Je kama nikibahatika kufaulu naweza kusoma IT?AU SIRUHUSIWI? Naombeni msaada.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wadau naomba mwenye kujua centre nzuri ya cpa (T) review ambayo ipo mwanza ANITAJIE NA LOCATION EVEN PHONE NUMBERS IF POSIBBLE
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa Ndugu jamaa na wanafunzi wote walipowahi kufundishwa na Dr. Katunzi, Mwalimu maarufu kwa somo la Organisation Behaviour- OB Tunasikitika kuwajulisha msiba wa Dr. Katunzi uliotokea jana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…