Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

habari zilizonifikia hivi punde zinaonesha hali kuwa mbaya zaidi ktk mgomo wa wanafunzi udom(coed)pale ambapo wachache wanaojipendekeza kwa wakubwa wa chuo kuingia madarasani huku wengine...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
ALL persons of who have attained the legal state of been to school have the right been there. regardless of their status, weather deaf-blind, blind, cripple, or any of the disabilities, let it...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mofisa wa CAG kutinga Udom leo Monday, 17 January 2011 19:30 Mussa Juma, Arusha MAOFISA kutoka ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mod, Niwiye radhi kama itakuwa ni tatizo la matumizi ya techno hii. Kwa siku kadhaa nimeshindwa ku-trace threads ambazo zinatueleza matatizo ya UDOM. Ipo trd ambayo binafsi nilichangia nikieleza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba Waziri Mkuu atambue kuwa matatizo hayako UDOM pekee bali karibu vyuo vyote vikuu vya umma. Ushauri wangu ni kuwa avimulike vyote.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Baada ya kile kinachodaiwa kushindwa kwa serikali legelege ya wanafunzi wa kitivo hicho, kusimamia msimamo wao wa wazirl mkuu mh.Pinda kuongea na wanafunzi wote,vilevile hasira kali zimeibuka...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Walimu wagoma kurejea kazini na Moses Ng'wat, Mbeya WANAFUNZI wa shule ya msingi Chindi, wilayani hapa wameshindwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mkuu wa chuo Prof Kikula kasema baada ya wajumbe 30 wa seneti kukaa wata watunuku shahada ya heshima ya uzamivu a.k.a udaktari mh JK na marehemu Kawawa katika mahafali ya kwanza ya UDOM tar 26 nov...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Serikali kuwaajiri walimu 9,000 Na Edmund Mihale SERIKALI imerudisha matumani ya wahitimu wa mafunzo ya ualimu waliomaliza katika nyuo, mbalimbali hapa nchi baada ya kutangaza kuwaajiri...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanafunzi 400 wajisaidia porini na Ambrose Wantaigwa, Tarime SHULE ya msingi Nyairoma iliyoko katika kata ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Taarifa za kuaminika kutoka UDOM zinasema kuwa, Mh. Mizengo K.P. Pinda, leo alikuwa na mkutano na wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa takribani masaa 3. Akiwa Chuoni hapo wahadhiri...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu waheshimiwa wote,naomba muongozo wenu katika hili katika kusikiasikia kwangu nimesikia kuwa kuna mbingu 7 (7 layer na 7 Heaven)na nikasikia kuwa km 640 kutoka usawa wa ardhi ndio kuna...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
NAIROBI, Jan. 14 (Xinhua) -- Wikipedia Foundation has launched an offline encyclopaedia for primary and secondary schools in Kenya. The CD version named Wikipedia Offline Encyclopaedia would...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali imeshatoa ajira kwa waalimu,kazi kwenu sasa!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu zangu ingawa niko mbali ila taarifa za kuaminika kutoma UDOM- Chimwaga dakika chache baada ya kiako na waziri mkuu kimethibitisha kwamba wahadhiri wa UDOM walikuwa wakichakachuliwa mishahara...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wanafunzi wa UDOM, nimeona niwawekee hii makala hapa muisome kama hamjabahatika kusoma gazeti la Tanzania daima la Leo. Namuunga mkono 100% mwandishi wa makala hii, yanayowakuta mmejitakia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MGOMO wa wanafunzi na Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) umechukua sura mpya baada ya wanachuo hao kumteka na kumweka chini ya ulinzi kwa saa nne Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, John Tupa, wakitaka...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Ndugu wana JF, UDSM nao wameanza mgomo, kwa sasa wako utawala wakitukana, wamemaliza kuimba wimbo wa Taifa na kuelekea Nkrumah hall
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Kwa muda mrefu sana kumeekuwa na mijadala hapa JF kuhusu ubora wa elimu vyuo vyetu vikuu.Wengine wamefika mbali sana na kudhani kuwa vyuo vingine ni bora kuliko vingine.Mjadala mkubwa ni kuhusu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…