Habari za wakati huu wadau wa elimu
Kama picha inavojieleza hicho ndicho kiasi ambacho nimepangiwa na HESLB kwa mwaka wa masomo 2023/2024....
Nahitaji ushauri, maoni, faida na hasara za kukata...
Wakuu, habari za muda na wakati huu.
Katika harakati za maisha na kujitafuta unakuta umesoma Elimu nyingine ila mpenyo wako ulipata ulipo amua ku step up nakusoma kishort kozi kikakutoa...
Wakuu naomba kuuliza kwamba n sifa gani anaruhusiwa mtu aliyesoma hgl kusomea health management mana form four nilipata alama zifuatavyo nikapangiwa hgl
Civ b
Bioc b
Lang b
Chen c
Geo c
Kisw c...
Naombeni tathimini ya ajira kwa waliosoma Public Health, inalipa mtaani au ni mwendo wa kumaliza viatu kwenda kuomba kazi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo Mr. Chromium nina Swali kwa Watanzania.
Naandika sana maswala ya Geopolitics leo tuongelee maswala ya kijamii.
Kwanini Watz wengi wanaenda kujiendeleza Uganda hasa Makelele University? Je...
Hello guys wa jf tumekua tukishauriana vingi na nilitamani tena mnipe mawazo.
Nipo chuo diploma ya kwanza IT chuo Fulani Nina umri wa miaka 20 ila kadri siku zinavozidi kwenda sio siri napoteza...
Lets write "I love you" in as many languages as we can.
Kiswahili: Nakupenda
Kiarabu: Ana Ahibbak
Kwa Kichaga....., Kihaya.....,Kinyakyusa...., Kisukuma.....,Kikwere...., Kinyamwezi...
Mwandishi mahiri wa vitabu vya lugha ya kiingereza, mmiliki wa shule ya Perfect Vision na Mwanasiasa mahiri tutakukumbuka daima.
SAME MASHARIKI tumepata jembe 2025-2035.
Nina swali kuhusu program tajwa hapo juu hususani kwa mtu aliyepitia Doctor of Medicine (MD) kama undergraduate.
Requirements ni zipi?
Je inampasa graduate wa MD kutimiza mwaka mmoja wa...
Wasalaam wana jamvi!
Mimi ni kijana ambaye baada ya kumaliza degree yangu mwaka juzi nikaunganisha kusoma master. Kwa sasa nasoma master of public health (MPH) hapa Muhimbili nategemea kumaliza...
Habari za muda ndugu zangu.
Binafsi nimewiwa sana kujiendeleza kwa kusoma Masters katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Open University) kwani mbali na ubora wa elimu inayopatikana napo na...
Habari zenu wana JF
Ebwana nilikuwa mada moja muhimu kuhusu Universities za Tanzania. Wanafunzi wengi wamekuwa wakicopy ( plagiarism) kutoka kwenye vitabu au article mbalimbali wakati...
Tanzania Ina shida kubwa ya Walimu mahiri wa Kingereza.
Sasa kusomesha Watoto kwenye shule za English Medium za Kibongo ambazo walimu ndio hao wa 'the' nk ni kupoteza pesa maana mwisho wa siku...
Kwema wana JF,
Nataka kujua hivi waliomaliza form 6 kama private candidate kuna uwezekano wa kuchaguliwa kwenda JKT,au wanachukua wa shule za serikali tu?
Habari za muda huu ndugu zangu,
Ngoja niende kwenye point natafuta mtu mwenye connection ya kupata vyuo Uganda au hata mashirika ya kusaidia kupata chuo huko. Mfano niliongeaga na education link...
Naomba msaada wa kujua kiwango cha mshahara wa mkufunzi wa chuo cha ualimu kwa mtu wa kiwango cha shahada jamani hasa waalimu wapya waliopangiwa kazi mwaka huu