Kamaliza form six HGL kapata 2 ya 12 kaomba chuo kakosa tumeamua kubahatisha kwa vyuo hivi je ni vizuri?
1)Muccobs
2) stephano memorial
3) Cdti tengeru arusha..
Na kozi ipi nzuri Kati ya hizi
_...
The Institute of Finance Management (IFM) is a public Institute in Tanzania established in 1972. It stands as the oldest higher learning financial institution in Tanzania. The institute has been...
Wizara ya Elimu, Sayansi, na Teknolojia kupitia Taasisi ya Elimu ilizindua Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu mwaka 2022. Tuzo hiyo imekuwa na mafanikio makubwa. Mwaka 2023 na...
Wana JF naombeni kujuzwa nina ndugu yangu ameomba mkopo wa kujiendeleza na elimu wakati selection ya kwanza inatoka account yake ilikuwa inaleta ( your application has been submited successful )...
Hello fellow members,
I want to raise awareness about an issue that is affecting many industries today – artificial intelligence (AI). It is clear that AI is transforming the job market, and we...
Kwa wanafunzi wote wa Olevel, Au una Ndugu yako wa O level, Download kitabu hiki chenye Maswali ya History Kuanzia form One Mpaka form 4.
http://www.vitabutanzania.com/book.php?bookid=vtsn002
Habari za muda huu.
Naombeni msaada na muongozo wa namna ya kupata nafasi ya kusoma shahada katika CHUO KIKUU bila kupitia mfumo uliowekwa na TCU maana huko nmekosa.
Iko hivi,mdogo wangu ana...
Habari zenu wadau,
Mimi niliaaply vyuo nikaconfirm IRDP nashangaa sasa nipo chuoni uku IRDP majibu ya mkopo(HESLB) yametoka mkopo umeelekezwa chuo cha CBE Dar es salaam badala ya IRDP Apa ndo...
Habari Wana JamiiForums.
Samahani naomba kuuliza kuhusu hili tangazo la Mikopo ya Elimu ya Stashahada (Diploma) ambalo limetolewa na Loan board (HESLB).
Swali langu ni hivi ikitokea umepewa...
Tupo kwenye sintofahamu, Chuo cha SAUT-MWANZA mpaka sasa hakijatupa Vyeti wahitimu wa Mwaka 2023.
Ukienda kufuatilia wanasema tusubiri wakidai vyeti havijafika, wakati huohuo wengine wamepata...
Kuna jamaa yangu amemaliza Diploma ya IT 2012 huko Iringa, amehangaika na maisha huko mwaka huu ananiambia mwaka ujao anataka kuingia Bachelor ya kozi fulani nje ya IT pale Iringa University Je...
Habari za saizi wakuu,
Twende moja kwa moja kwenye mada yetu ya Leo.
Lugha ya alama nini?
Lugha ya alama Tanzania ni chombo cha mawasiliano ambacho humuwezesha mzungumzaji kufikisha ujumbe...
Point 40 zitakazokusaidia ufanikiwe haraka kwenye freelancing.
Zote ni muhimu sana, Ukuzingatia
Ni rahisi sana kupata maokoto yako
1. Chagua niche (industry) ambayo ina demand kubwa ya wataalam...
Ndugu watz baada kufanya utafiti wa muda mfupi, vyuo vikuu vingi hapa Tanzania wanafunzi wa first year wamekosa mikopo hivyo wanasuasua kureport vyuoni.
Sijajua wizara inalengo gani na swala hili...