Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naombeni msaada jinsi gani naweza kupata admission letter udsm 2024
0 Reactions
6 Replies
357 Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa hapo chini: Mgeni rasmi sheikh Mussa Kundecha na wageni wengi wamehudhuria wakiongozwa na mkurugenzi wa taasisi ya Hudaibiyah Master Juma Almasi. Aidha...
5 Reactions
14 Replies
469 Views
TATIZO LA WANAFUNZI WA DIPLOMA WALIOENDA KULIPOTI MWAKA WA KWANZA LAKINI WAKAPATA CHANGAMOTO YA KUPATA MSIMBO ILI KUSAJILIWA CHUONI MNATUSAIDIAJE WAKUBWA ZETU
1 Reactions
1 Replies
473 Views
You must be a graduate and are serious in making impactful application to these prestigious scholarships from UK and Denmark. ResearchLink International ResearchLink International offers technical...
0 Reactions
0 Replies
180 Views
Kuna kijana nimemfanyia application ya mkopo heslb,sasa toka jana naona account yake imebadilika na kuwa SIPA, sasa nikiingia kwenye allocations za mkopo inanipa ujumbe huo hapo chini. Je, hii...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
UDOM WAMETOA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MASOMO 2024/2025 ANNOUNCEMENT FOR STUDENTS ADMITTED INTO DIFFERENT STUDY PROGRAMMES AT THE UNIVERSITY OF DODOMA WITH SINGLE ADMISSION...
5 Reactions
21 Replies
12K Views
Msaada wa poem hii
2 Reactions
4 Replies
334 Views
Nimezunguuka dunia hii hususani Ulaya, Marekani, Australia, na Asia, kote huko nimekuta Uuguzi (Nursing) ikiwa na fursa nyingi sana kuliko kada nyingine za Afya. Kule Marekani Uuguzi uko juu kwa...
17 Reactions
436 Replies
59K Views
Wakuu! Jamaa angu ka login kwenye account yake aliyotumia kufanya application za Muhas akakuta taarifa "ndugu '__' hujachaguliwa kujiunga na chuo Cha Muhimbili round 1" Hilo Jambo limeniogopesha...
7 Reactions
120 Replies
10K Views
Habari zenu, Nahitaji kusoma hii fani ya uhasibu, nina cheti cha kidato cha nne cha sita na degree nyingine haihusiani kabisa n maswala ya kifedha. Nimejaribu kutafuta taarifa kidogo nimekutana...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Ninatumia fursa hii kwa heshima na unyenyekevu kutoa uthibitisho wa kozi kadhaa ambazo zinatoa fursa za ajira zenye mishahara mikubwa. Kozi hizi zina uwezo wa kubadilisha maisha moja kwa moja kwa...
7 Reactions
37 Replies
11K Views
Hakuna changamoto kubwa katika maisha ya vijana wetu wanaomaliza kidato cha sita katika elimu kama uchaguzi wa taaluma gani wanatamani kwenda kusomea vyuo vikuu na vyuo vya kati. Ingawa wengi...
0 Reactions
3 Replies
390 Views
Technical Education in Engineering ni course inakuwa offered hapa chuo cha must Mbeya lakini mtaani haitambuliki marketing yake ni ndogo mno ni ngumu kupata ipo kwa wanafunzi wanaosoma Technical...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
“ Elimu ni kile kinachobaki baada ya mtu kusahau kila alichojifunza shuleni.” Hii ni nukuu maarufu ya Albert Einstein, ikimaanisha kwamba elimu ya kweli siyo tu kukariri au kujifunza mambo...
2 Reactions
12 Replies
419 Views
JAMBO GANI NI MUHIMU KUZINGATIA KWENYE BIASHARA NDUGU WADAU?
0 Reactions
3 Replies
266 Views
Wakuu salamu. Ningependa kwa anaejua hivi Open University of Tanzania website yao imepatwa na ugonjwa gani? Kuna mdau alifanya application ya kuomba nafasi undergraduate kwa kutumia Online...
4 Reactions
44 Replies
1K Views
OLAMS ya Bodi ya Mkopo haikubali kukamilisha kutuma maombi kwa njia ya mtandao. Mwanafunzi amejaza kilakitu na ameambatanisha kila kitu lakini mfumo huo uko doro kabisa. Kiasi wametafutwa...
1 Reactions
1 Replies
348 Views
Nimeona kwa sasa kijana anaweza kutoka shule ya msingi akapangiwa moja kwa moja kwenda sekondari form one au la wakampangia kwenda chuo (college) cha ufundi. Au akatoka form four akapangiwa...
1 Reactions
3 Replies
229 Views
Habari wana Jamiiforum, Mimi ni mwanafunzi wa diploma in diagnostic radiography mwaka wa tatu. Naomba msaada kwa taasisi au mtu binafsi mwenye uwezo wa kunilipia ada ili niweze kumalizia mwaka...
3 Reactions
2 Replies
293 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…