Wadau,
Nna mdogo wangu kapangiwa form 5 hii shule (EGM) kwa anaejua status ya Taaluma ya shule hii anijuze.
Na pia kwa mtu mwenye contact ya Mwalimu/Walimu naomba anisaidie ile niwasiliane...
UFAFANUZI WA BAADHI YA KOZI AMBAZO WALIOSOMA TAHASUSI ZA ARTS KAMA HKL/HGL/HGK/WANAWEZA KUZISOMA CHUO KIKUU
UNASOMA CHUO KIKUU ILI KUKUZA UFAHAMU NA KUIMARISHA UWEZO FIKIRISHI WA KUFANYA...
Hellow wana Jamii samahani naomba kujua jambo
1. Hivi kuna utofauti gani kati ya Project na Research?
2. Je, project nayo inahitaji project proposal kama research?
3. Na vipi kuhusu kudefend...
Nina ndugu yuko anachukua Clinical officer(3rd yr) ...Wameambiwa wachague topic yyte ambayo wangependa kuifanyia research ....Yy amechagua. " negative perception of many patients towards medical...
Habarini jamani wakubwa zangu. Naombeni kuuliza ivi kubadili course Chuo Kikuu mfano kutoka Education kwenda Nursing kwa ufaulu wa 1.9 (PCB).
Kuna ugumu gani kwenye nyuo vya binafsi na serikalini...
Hbr za wakti huu wadau,naomb mnielimishe na kunsaidia kweny hli,Je kuna tofaut yeyte ya mtu anaehitimu degree chuo cha taasisi na chuo kikuu?
Yani mfano Anaehtimu Degree kwa GPA kubwa UDSM na...
Mfumo wa Ajira Portal wa Secretariat ya Ajira ambao unapatikana katika tovuti ya Public Service Recruitment Secretariat | PSRS una changamoto kadhaa ambazo zimekuwa kikwazo kwa sisi Watumiaji...
Kwenda: Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania – TCU 23 Julai 2024
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo cha St. Joseph kilichopo Mbezi Luguruni, Dar es Salaam, ambacho kinatoa kozi mbalimbali za sayansi, ikiwemo...
Mwaka wa kwanza chuoni niliikuta hii course katika harakati za hapa na pale nikapata coursework ya 11/40 kupiga UE nikala mzinga. Kufanya sup ikanishinda nikacarry.
Mwaka wa pili nikawa natumia...
Ikiwa Leo ni siku ya nne, najaribu kuingia kwenye system ya "NACTVET" Kuomba "AVN NUMBER" lakini sifanikiwi licha ya kuwa nimejisajili, ila system haijanipa nafasi ya kutengeneza password, na hata...
Kwa elimu yetu ya hapa Tanzania soma vyuo ambavyo vina network kubwa ya kukuongezea uwezekano wa kupanua goli la oppurtunities (Ajira, Promotion maofisini, Scholarships, Grants, n.k) hata kama...
Hello ni wapi na confirm chuo ninacho kitaka kwenye case ya multiple selection? Je ni TCU? Je nikwenye moja wapi ya vyuo?
Na process zikoje. Natanguliza shukrani
UNDERSTANDING THE APTITUDE TEST IN DEPTH AND ITS USE IN ASSESSING TEACHERS
For detailed information on the Aptitude Test and how it can be used to evaluate teachers, click the link below...
Jamani naomba kuuliza juu ya chuo Cha CBE Dodoma ni kizuri Kwa mandhari na vp kuhusu elimu au taaluma inayotolewa pia nishaurini chochote juu ya chuo hiko, manake nimechaguliwa IT CBE Dodoma, na...