Habari wakuu, kwa heshma kubwa naomba, nahitaji muongozo wenu.
Nimepata:
1: Bachelor of Arts in Economics -Ardhi university
2: Bachelor of Economics and finance I F M.
Naomba ushauri wenu...
Tunawatakia mitihani mwema. Tunaamini Wizara ya Elimu na vyombo vyote vya ulinzi na usalama vita dhibiti udanganyifu usitokee. Na watakao bainika kufanya udanganyifu basi hatua kali zichukuliwe...
Nina ndugu yangu kapata matokeo haya HIST-D GEO-C BIO-C ENGL-D CIV-C CHEM-C LITE-D KISW-C MATH-D
Amepata Division III Point 23 hajasomea PHYSICS na amepangiwa chuo cha Human Resources Management...
Serikali imeamua kuboresha uelewa wa somo la Kiingereza kuanzia Shule za msingi darasa la kwanza badala ya kuanzia darasa la Tatu kama hapo awali ili kuwajengea uwezo wanafunzi hao ingali mapema...
Habari zenu wakuu,
Poleni na majukumu,
Moja kwamoja kwenye mada, Kuna bwana mdogo kaniomba ushauri nimsaidie lakini sio mjuzi zaidi nikaona NIVYEMA kuliweka hapa JF.
Huyu dogo kasoma diploma ya...
Kuna binti kamaliza form six mwaka huu kaomba chuo kapata vyuo viwili na alikuwa anasoma PCB kapata UDSM na UDOM lakini kozi aliyopata ndo haelewi kozi yenyewe ni Aquaculture vyuo vyote viwili...
Habari wakuu, kwa heshma kubwa naomba, nahitaji muongozo wenu. Nimepata
1: Bachelor of Arts in Economics
-Ardhi university
2: Bachelor of Economics and finance
-IFM
Nilisoma HGE ufaulu wangu ni...
Kwa wanaojua kwani Inawezekana mtu kusoma vyuo viwili kwa mara moja mfano;upo degree chuo x ila unafanya application na kujisali level ya certificate au diploma chuo y
Nimepangiwa education pale Kampala lakini nataka kozi ya afya je, nikienda mapema naweza kufanikiwa labda kwa private?
Naomba mtu mwenye uhakika hili ndo aweze kunifafanulia vizuri
Kama vipi...
Wakuu habarini za jioni, poleni na hekaheka na mihangaiko ya siku..
Samahani naomba wajuzi mniambie je inawezekana kwa mtu aliechaguliwa chuo mfano amechaguliwa TIA campus ya Dar es salaam...
Habari zenu waungwana.
Nmeapply kozi ya computer systems and networks katika chuo Cha ardhi kwasababu napendelea sana ujuzi wa maswala ya computer. Je hii kozi inajitegemea, haihusiani na...
Habari,
Wakuu nimemaliza Diploma na leo matokeo yametoka ya kuingia Bachelor matokeo yangu ni yafuatayo.
Semester ya kwanza nina GPA 3.0 na Supp,
Semester ya pili nina GPA 2.4 na Supp, Sasa vipi...