Habari ndugu zangu,
Nataka kuweka kitabu changu katika mtandao wa AMAZON, ila kuna sehemu moja ya kuweka taarifa za kibenki, sioni option ya Tanzania ili niweze kuendelea.
Kuna iprion ya...
Wandugu, naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Nimesoma masomo ya Biology na chemistry kisha nikasoma kozi za uhifadhi wa maliasili, kwa kozi hii mambo hayaeleweki.
Natamani nipate kozi fupi...
Sasa kuna changamoto imejitokeza hapa chuoni kwetu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ni kuhusu Wanafunzi ambao hawajapata mkopo mwaka jana (2023) na ambao waliokata rufaa.
Sasa kinachotokea ni...
Wakuu habari za saa hizi??
Naomba Ushauri wenu wana JF, Hivi ikiwa mtu ulisoma combination ya PCB A-Level halafu ukasoma Diploma ya General Agriculture.
Je,Ukiomba kusoma Degree hii ya Bio...
WanaJF,
Vipi kuhusu hiyo course ya textile design and technology? Ipi nzuri na yenye ajira kati ya hiyo na hizi
BSc in Land management and valuation.
BSc in urban and regional planing.
Msaada...
Habari wadau,
Ninaomba kutoa lalamiko langu kuhusu huduma za masomo kupitia Zoom lectures zinazotolewa na Open University Tanzania kwa wanafunzi wa sheria mwaka wa kwanza (bachelor of Laws) na...
Wakuu habari zenuu,
Mimi hapa ndgu yenu Sasa naingia chuo mwaka wa tatu nasoma diploma ya electrical engineering, naombeni mnisaidie nijikite kweny kipengere gan kizuri zaidi kitacho nifaidisha...
Habari Wadau wa jukwaa la Elimu
Kuna jamaa yangu anahitaji ushauri hapa. Yuko dilemma katika kuchagua kipi ni sahihi?
Amepata mbanga wa kumpigania katika ishu ya TPDF na ameambiwa akapostpone...
Nimeamua kuleta hili jambo mbele zako Waziri wa Elimu Prof Mkenda na TCU mtusaidie sisi tuliokuwa wahadhiri wa SAUT Tabora tulipwe haki zetu. Nimekuwa mhadhiri wa SAUT Tabora Kwa muda wa miaka...
Hizi shule(mzumbe,pugu,kisimiri,ilboru,kibaha and the likes) japokua siku izi nyingi zimepoteza sifa zake aisee kama una moyo mwepesi usiende huko unaweza kupata depression au pressure ukashindwa...
habari wakuu,
naomba mnisaidie namna ya kupata avn number kwa niliyesoma cheti mwaka mmoja na diploma miaka miwili.
pale kwenye maswali ya kuchagua yes or no nachagua nta level ngapi? maana hapo...
Habari ndg zangu, kuna kijana mmoja alikuwa anaishi na mama yake Jijini Dar salaam,baba yake alifariki muda mrefu,mwaka jana kabla ya kufanya mitihani ya kidato cha nne mama yake nae alifariki...