Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari Wana jukwaa naomba kuuliza hivi NBAA huwa wanatoa cheti Cha atec 1 Kwa maana Kuna nafasi za kazi zimetoka za msaidizi wa hesabu daraja la pili za MDA and LGA wanahitaji mtu mwenye atec 1 ya...
0 Reactions
1 Replies
314 Views
Ndio maana inafikia kipindi wanafunzi wanapigwa, ni kwasababu ya kulazimisha mtu afanye asichokipenda by nature. Kuna shuhuda nyingi sana utazisikia, "Bila viboko nisingeweza shule". Hata wale...
6 Reactions
8 Replies
420 Views
Habari zenu wapendwa naitaji kufahamu mtu mwenye certificate ya lab assistant anaweza kuchukua ordinary diploma ya lab technician pale DIT?
2 Reactions
2 Replies
556 Views
Aliyetengeneza sinema ya Avatar alijua. -Mycelium, au mycorrysis, ni ambayo huenea chini ya ardhi, na kuunda mtandao wa uhusiano kati ya aina zote za mimea, ambayo huwawezesha sio tu kuwasiliana...
0 Reactions
3 Replies
209 Views
Wakuuu naomba msaada tofauti ya ajira za walimu na afya zipi zingine zimetaganzwa.
2 Reactions
10 Replies
321 Views
Nili apply diploma in clinical dentistry na nikachaguliwa Tanga collage. Sasa jana trh 5/8 zilitumwa code(msimbo) za ku_verify taarifa NACTEVET lakini mimi sikutumiwa. Nisaidieni kwa anae Juan hii🙏
1 Reactions
1 Replies
888 Views
Mfumo wa NACTVET kushindwa kutoa AWARD VERIFICATION NUMBER. USERNAME na PASSWORD walionitumia baada ya ku create account hazikubali ku log in na hata nikifanya FORGOT PASSWORD bado mfumo unanipa...
1 Reactions
3 Replies
399 Views
Habari. Nlikuwa naomba Msaada wa kufahamisha kuhusu ishu ya kupata AVN? Pia nlikuwa naomba kufahamu Nacte huwa wanatumia muda gani ku confirm matokeo maana yangu yashakuwa submitted
1 Reactions
5 Replies
761 Views
Habari wadau wa JF, naomba kuchapisha Uzi huu hivi kozi ya motor vehicle mechanics inayotolewa VETA ni kozi inayohusu mambo gani na unaweza kujiendeleza baada ya kumaliza kozi hyo na kujiunga...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Wakuu habari za leo! Natumai mu wazima wa afya. Wapendwa naomba niwashirikishe jambo kidogo kwa ufupi mimi ni IT Professional nafanya kazi moja ya kampuni za private hapa mjini Dar, nimekua...
0 Reactions
3 Replies
621 Views
Habari za jioni wadau, naomba kujua jinsi ya kupata Award Verification Number (AVN) Je ni lazima kuwa na hiyo namba ili uapply degree.
1 Reactions
17 Replies
22K Views
Wakuuu naomba msaada tofauti ya ajira za walimu na afya zipi zingine zimetaganzwa.
0 Reactions
1 Replies
153 Views
Wakubwa habari Mwenye ujuzi na mambo ya ufadhili aje hapa Mtupeni hzi scholarship za kusoma music nje ya nchi kwasabab mim nimetafta ila sizioni
2 Reactions
2 Replies
312 Views
Kwa wale tuliopitia Makongo kuanzia enzi zabkuvaa kaptura mpaka suruali tukutane hapa kama wahenga tukumbushane ya kihenga kuanzia makundi ya NO LIMIT SOLDIERS, FEHAJ SISTERS.... Bila ya...
4 Reactions
187 Replies
25K Views
Shule kama; Jitegemee Airwing Makongo Bwawani Kizuka n.k. Share your experiences and other infos.
4 Reactions
73 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, Tukiwa tunatazama michezo ya Olimpic nchini Ufaransa ni wakati wa kujitafakali na kupitia kwayo tukaja na mikakati ya muda mrefu kwenye michezo. Tumewekeza sana kwenye majengo...
0 Reactions
0 Replies
169 Views
Habari za majukumu wanajukwaa, bila shaka ni wazima wa afya. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu; Ndugu wanajukwaa naombeni ushauri wenu hasa kwa nyie wazoefu na hii kitu inayoitwa...
2 Reactions
9 Replies
848 Views
Habari za muda huu wadau Nimekumbuna na changamoto hii wakati wa kufanya application NACTE, nimefanya mawasiliano na chuo husika ila sijapata msaada wowote hivyo nimekusudia kwenda NACTE.
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Kuna dogo niliona nimsaidie kiutani nikamfanyia application za diploma. Sasa alichaguliwa HGK shule moja moshi ila kule kwenye chuo pia amepata diploma civil engineering. Hapa anatakiwa afanye...
5 Reactions
26 Replies
980 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…