Habari za mchana
Hongereni simba kwa tamasha la jana na yanga leo mfanikiwe zaidi. Jaman naombeni ushaur kozi gani naweza soma nikaja kuajiriwa ndani ya serikali yaan ndani ya miaka mitano au...
Tuende mbele turudi nyuma mtoto si kumlisha na kumsomesha tu. Malezi ya kitabia ndio kipengere na hapa hakuna mbabe !!Hata uwe mkali vipi mtoto anaweza kukushinda tu kwa kuwa na tabia zisizo faa...
Nipo katika mchakato wa kutuma maombi funded scholarship za ujerumani DAAD masters in international health.
Hivi mwajiri anaweza kutoa cheti cha utumishi wakati bado unafanya kazi na vilevile...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda akielezea mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, namna Serikali ilivyojipanga kutatua changamoto zilizopo...
Jamani mimi natafuta mtu ataeweza kunitanya niwe na mwandiko mzuri ,sikusoma shule sawasawa kutokana na sababu za kiafya,sasa kiujumla sina hati nzuri kabisaaa,nataka mtu atakaeweza...
Habari zenu,
Naomba mnijuze ukomo wa kusoma masters katika vyuo huria.
Nauliza maana ni miaka karibu sita sasa shemeji yenu anasoma tu hiyo elimu. Vikwazo vimekuwa vingi mno masters haiishi...
Wakuu kwema
Ni muda vijana wanaomaliza form six pcb na 1.3 hadi 1.6 kuwaza kusomea udaktari wa upasuaji wa kinywa na meno (dds) au Radiology (udaktari wa mionzi) kwani itachukua muda mrefu sana...
Habari za mchana.
Ninahitaji kujua vyuo vya serikali vinavyotoa diploma ya ELIMU maalum kwa viziwi,. Nimejaribu kupitia mtandaoni nimeona ni Kabanga-Kasulu na Mpwapwa-Dodoma ndio vinavyotoa...
Chuo kipo Dar es Salaam.
Kinatoa kozi zifuatazo:
1.0. CERTIFICATE COURSE IN HOTEL MANAGEMENT (miezi 9).
COURSES :
1.1. Accomodation Operation.
1.2 Front Office Operation.
1.3. Food and Beverage...
Salam WanaJF!
Kama kichwa cha Habari hapo juu. Nimehitimu First Degree ya ICT miaka michache ilopita. Tayari nilifanikiwa kuajiriwa. Sasa nimeamua kwenda kuongeza kitabu kwa ngazi ya Masters...
Guys nina plan ya kusoma PhD nje ya nchi lakini nikitegemea zaidi nipate udhamini.
Ningependelea kusoma nchi za ulaya au America kutokana na quality ya elimu yao pamoja na fursa, haswa Nordic...
Wakuu pole na majukumu.
Mimi nimehitimu kidato cha sita mwaka huu natarajia kujiunga na chuo mwezi wa kumi. Naomba natamani kujua kozi gani ni nzuri na yenye nafasi kubwa ya kujiajiri nikimaliza...
Habari wanajukwaa,
Nimemaliza kidato cha sita mwaka huu tahasusi ya PCB na nimepata DIV two ya 12 nikiwa na physics D, Chemistry D, Biology D, Bam D, na Gs D
Nipo njia panda kwa sasa juu ya kitu...
Ukijaza kozi ya MD, Nursing, and and thw third one you qualify inasema huna sifa wakati una sifa zote kamilifu according to their prospectus and TCU
Tatizo ni nini?
Mwanga (According to wave particle duality) Huwa umebeba particles in form of photons na sometime Huwa znakuwa in wave form.
Kutokana na kwamba photons Huwa zko in motion all the time ndo inakuwa...