Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kama hujasoma chuo cha Public au FBO basi una hasara sana, hapa namaanisha kwa level zote, vyuo vya kati na vya juu. Vyuo vya Private vinajua kutoza ada kubwa tu na kufaulisha wanafunzu kwa...
6 Reactions
6 Replies
560 Views
Amemaliza six mwaka huu kombi ya EGM, Ufaulu: Economics D, Geography D, Maths E, Naomba ushauri wenu kwa fani anazoweza pata ajira kirahisi au akaweza kujiajiri.
7 Reactions
49 Replies
2K Views
Habari Ndugu wana jamii forum Mimi ni kijana niliye hitimu kidato cha sita mwaka 2024 combination ya HGL nikiwa na ufaulu wa div 1.4 ninaomba ushauri juu ya uchaguzi wa kozi kati ya 1. Political...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Mlioanza application za loan board naomba uzoefu wenu maana nimeanza application asubuhi hii lakini mfumo haufunguki
1 Reactions
13 Replies
632 Views
Naomba kuuliza je pale cuhas ada ina lipwa mara ngap ili ikamilike yote?? Au n kwa mkupuo ?
1 Reactions
1 Replies
401 Views
Nimepata taarifa kuwa aliyekuwa mhadhiri wa chuo kikuu cha dar es salaam,dr ndibalema amefariki jana usiku,dr ndibalema alikua akifundisha EDUCATION ADMINISTRATION AND MANAGEMENT (EA), Pia alikua...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari, Naomba anaejua app ambayo naweza kupata vitabu anijuze.
1 Reactions
7 Replies
435 Views
1 Programs in Cluster One Students in cluster one must be admitted in the following programs:- i. Health and Allied Sciences Clinical Dentistry, Diagnostic Radiotherapy, Occupational...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari wanaJF, Naomba kuuliza kwa sisi tulimaliza mwaka huu na tunahitaji kuendelea na masomo, tutakuwa na muda wa kuomba mkopo na vyuo kutokana na deadline waliyoweka?, Naomba kupata uzoefu kwa...
2 Reactions
2 Replies
420 Views
Hivii mtu akitaka kusoma AMO afate taratibu zipi kwa sasa hivi....? Japo kwa Tanzania haipo,je akitaka kusoma nje inawezekana?? Na taratibu na vigezo zipoje???
1 Reactions
26 Replies
682 Views
Habari zenu, Kwa mtu anayesoma vikindu teachers college, naomba kujua, anayetaka kuanzia ngazi ya diploma kwa ualimu wanampokea, na ada bei gani. Nimejitahidi kuwapigia simu hawapokei.
1 Reactions
1 Replies
489 Views
Naomba kufahamu hivi ukiwa na diploma ya human resource management kuna uwezekano wa kuapply bachelor of science in accounting and finance
0 Reactions
2 Replies
493 Views
Habari wana bord. Kichwa cha habari chahusika. .Nina binti yangu ambaye baada ya kufanya mtihani wa kidato cha pili kunachangamoto ilimtokea hakuweza kuwa masomo licha ya matokeo yake vizuri kwa...
2 Reactions
10 Replies
510 Views
Serikali kupitia TAMISEMI imetoa fursa kwa Wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2023 kuongeza au kufanya marekebisho ya machaguo mapya ya tahasusi (combination) baada ya kuongezwa kwa tahasusi mpya 49...
11 Reactions
159 Replies
14K Views
Habari zenu wana Jamii Forums. Niende kwenye mada moja kwa moja, nimekua kwenye wakati mgumu kimtazamo kutokana na mambo yanavyoenda kwenye Nchi yetu, na moja ya jambo ambalo limekua likinipa...
0 Reactions
5 Replies
616 Views
Anonymous
Hii inatokana kwamba mimi na wenzangu tumekuwa tukipewa ushirikiano mdogo sana hapa chuoni, kwamba mpaka sasa niko mwaka wa tatu na ninatalajia kuhitimu masomo mwaka huu wa masomo 2023/2024...
1 Reactions
3 Replies
318 Views
Kuna kijana wangu yuko kidato cha tatu. Anapenda sana kucheza mpira na anacheza vizuri. Kila nikikaa nae nikimuuliza anatamani kufanya nini katika maisha yake, anasema anataka kucheza soka. Sasa...
2 Reactions
6 Replies
622 Views
Mwenye uelewa wa majukumu na vitengo ndani ya hizi ofisi za udhibiti ubora wa shule katika Wilaya.
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Naomba msaada kwa mtu anayehusika na Utaalam wa Uandishi wa Dissertation.
2 Reactions
15 Replies
533 Views
By professional ni accountant but nmepata fursa ya kusoma Coding. Naomba kujua how they relate. Kwa career yangu PYTHON itanifaidisha vipi? Naombeni mchanganuo🙏🏼
3 Reactions
7 Replies
517 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…